Jamani wadogo zangu ambao hamjaolewa nawausia(japo nafsi yangu siiusii maana mimi ni mhanga tayari) please naandika kwa uchungu sana msidate na wanaume za watu.Jamani hawa watu si wazuri kabisa kwani hawatakuoa wataishia kukuzalisha tu.
Wanaume za watu wanasababisha wewe usiolewe maana wote tunajua wanaume za watu wanajua kuhonga(pesa ni silaha yao kubwa) wakiwa wanakupa pesa na kukupa matumizi wanajidai kukujali kama mke wake ila ukweli anakuharibia maisha maana vijana wanaotafuta maisha au wanaoanza maisha utawaona hawafai tena(hawa hawanaga hela kwa sababu wanakuwa wanaanza kujipanga maisha).
Kwa hiyo wewe utakuwa mtu wa kufata maisha ya wanaume wenye hela tu na probably wanaume za watu ndio tabia zao hizo.Hadi unakuja kushtuka umri umeenda na hakuna mtu wa kukuoa(hapa sie magumegume ndo tunaaply ile theory unamchukua mume wa mtu mmoja anayeeleweka kimaisha na at least mwenye kujali sana unazaa nae kabla menstruation cycle haijastop).
Na kama unataka kudate waume zawatu please usidumu nao more than a year na pia usidate wapare au wachaga hawa watu ni mabahili sana.Watakupa hela pale unapotoka nae gesti tu ila ukiwa na shida usitegemee atakupa hela(hili nimeshapitia)
Ila wewe kama unajifanya kichwa ngumu unapenda hela zaidi na hujali future nifate pm nikupe maujanja zaidi ya kuwakamata hawa watu.
Najua mtaniponda ila mie maisha yalisababisha mpaka nianze kutembea nao nikiwa darasa la 7 mpaka leo nina miaka late 30's nimeshajichokea nimejiamulia kuzaa na hapa nazaa na kigogo mkubwa sana kanifungulia biashara naamka saa 4 asubuhi hela zinanifata home,mambo yote nafanyia nyumbani shida siijui ikoje.
Naendesha x5 maisha barabara mdogo wangu yupo UK anasoma (Alhamdulillah kwa kweli)anasomeshwa na shemejie nimeriskvitu vingikwa ajili ya huyu mdogo wangu sitaki apitie maisha niliyopitia leo)
Ukiniona nimewaka vibaya sana hata hutojua miaka yangu sababu ya matunzo na hela ila natamani ningegundua mapema hayo ningeachana na hawa watu sahivi ningekuwa na mume wangu na mie.