Angalizo kwa mabinti wa humu!!!!!!!

Angalizo kwa mabinti wa humu!!!!!!!

Zahra White

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
598
Reaction score
576
Jamani wadogo zangu ambao hamjaolewa nawausia(japo nafsi yangu siiusii maana mimi ni mhanga tayari) please naandika kwa uchungu sana msidate na wanaume za watu.Jamani hawa watu si wazuri kabisa kwani hawatakuoa wataishia kukuzalisha tu.
Wanaume za watu wanasababisha wewe usiolewe maana wote tunajua wanaume za watu wanajua kuhonga(pesa ni silaha yao kubwa) wakiwa wanakupa pesa na kukupa matumizi wanajidai kukujali kama mke wake ila ukweli anakuharibia maisha maana vijana wanaotafuta maisha au wanaoanza maisha utawaona hawafai tena(hawa hawanaga hela kwa sababu wanakuwa wanaanza kujipanga maisha).
Kwa hiyo wewe utakuwa mtu wa kufata maisha ya wanaume wenye hela tu na probably wanaume za watu ndio tabia zao hizo.Hadi unakuja kushtuka umri umeenda na hakuna mtu wa kukuoa(hapa sie magumegume ndo tunaaply ile theory unamchukua mume wa mtu mmoja anayeeleweka kimaisha na at least mwenye kujali sana unazaa nae kabla menstruation cycle haijastop).
Na kama unataka kudate waume zawatu please usidumu nao more than a year na pia usidate wapare au wachaga hawa watu ni mabahili sana.Watakupa hela pale unapotoka nae gesti tu ila ukiwa na shida usitegemee atakupa hela(hili nimeshapitia)
Ila wewe kama unajifanya kichwa ngumu unapenda hela zaidi na hujali future nifate pm nikupe maujanja zaidi ya kuwakamata hawa watu.
Najua mtaniponda ila mie maisha yalisababisha mpaka nianze kutembea nao nikiwa darasa la 7 mpaka leo nina miaka late 30's nimeshajichokea nimejiamulia kuzaa na hapa nazaa na kigogo mkubwa sana kanifungulia biashara naamka saa 4 asubuhi hela zinanifata home,mambo yote nafanyia nyumbani shida siijui ikoje.
Naendesha x5 maisha barabara mdogo wangu yupo UK anasoma (Alhamdulillah kwa kweli)anasomeshwa na shemejie nimeriskvitu vingikwa ajili ya huyu mdogo wangu sitaki apitie maisha niliyopitia leo)

Ukiniona nimewaka vibaya sana hata hutojua miaka yangu sababu ya matunzo na hela ila natamani ningegundua mapema hayo ningeachana na hawa watu sahivi ningekuwa na mume wangu na mie.
 
du, hao wachaga na wapare wamekuudhi nn sasa si ndio viongozi wa m4c wazee wa mabadiliko.
 
Ushauri wako ni mzuri lakini hautatekelezwa na vibinti vya leo vinavyotaka pesa zaidi ya kuolewa.
PESA MBELE, KUOLEWA NYUMA, KIFO AJARI KAZINI.
 
:A S-fire1:
halafu dizaini kama unatuponda at the same time unatumotivate tuwe nao usifanye mchezo na x5 hapa mjini looo wengine hata tustarlet hatuna.
Sisi wasikivu tumekuelewa bana

na wasiowasikivu watakuja pm teh teh kama naiona pm yako inavyojaa mabinti kuomba mbinu mwee jf raha sana sijajutaaa na sitojuta kuifahamu
 
Jamani wadogo zangu ambao hamjaolewa nawausia(japo nafsi yangu siiusii maana mimi ni mhanga tayari) please naandika kwa uchungu sana msidate na wanaume za watu.Jamani hawa watu si wazuri kabisa kwani hawatakuoa wataishia kukuzalisha tu.
Wanaume za watu wanasababisha wewe usiolewe maana wote tunajua wanaume za watu wanajua kuhonga(pesa ni silaha yao kubwa) wakiwa wanakupa pesa na kukupa matumizi wanajidai kukujali kama mke wake ila ukweli anakuharibia maisha maana vijana wanaotafuta maisha au wanaoanza maisha utawaona hawafai tena(hawa hawanaga hela kwa sababu wanakuwa wanaanza kujipanga maisha).
Kwa hiyo wewe utakuwa mtu wa kufata maisha ya wanaume wenye hela tu na probably wanaume za watu ndio tabia zao hizo.Hadi unakuja kushtuka umri umeenda na hakuna mtu wa kukuoa(hapa sie magumegume ndo tunaaply ile theory unamchukua mume wa mtu mmoja anayeeleweka kimaisha na at least mwenye kujali sana unazaa nae kabla menstruation cycle haijastop).
Na kama unataka kudate waume zawatu please usidumu nao more than a year na pia usidate wapare au wachaga hawa watu ni mabahili sana.Watakupa hela pale unapotoka nae gesti tu ila ukiwa na shida usitegemee atakupa hela(hili nimeshapitia)
Ila wewe kama unajifanya kichwa ngumu unapenda hela zaidi na hujali future nifate pm nikupe maujanja zaidi ya kuwakamata hawa watu.
Najua mtaniponda ila mie maisha yalisababisha mpaka nianze kutembea nao nikiwa darasa la 7 mpaka leo nina miaka late 30's nimeshajichokea nimejiamulia kuzaa na hapa nazaa na kigogo mkubwa sana kanifungulia biashara naamka saa 4 asubuhi hela zinanifata home,mambo yote nafanyia nyumbani shida siijui ikoje.
Naendesha x5 maisha barabara mdogo wangu yupo UK anasoma (Alhamdulillah kwa kweli)anasomeshwa na shemejie nimeriskvitu vingikwa ajili ya huyu mdogo wangu sitaki apitie maisha niliyopitia leo)

Ukiniona nimewaka vibaya sana hata hutojua miaka yangu sababu ya matunzo na hela ila natamani ningegundua mapema hayo ningeachana na hawa watu sahivi ningekuwa na mume wangu na mie.

Mbona unaniumbua mpenzi. Nilijua unanipenda kumbe wanichuna tu.......sasa cha moto utakiona.
1. Silipi tena ada ya mdogo wako
2.Hiyo gari nirudishie
3.Watoto wangu nawapeleka kwa bibi yao
4. Kuanzia leo tusijuane
 
liondoe kwanza boriti lililoko kwenye jicho lako kisha uwageukia hawa mabinti maana na wewe umemganda mme wa watu kisa ana pesa wewe mwenye hujajuta ungejutia maisha hayo ungeachana na huyo bosi alee familia yake. ......"yale msiyotaka kutendewa msiwatendee wengine"
 
Wabhyeja sana.
Huo ndio ukweli wote.
 
Mbona unaniumbua mpenzi. Nilijua unanipenda kumbe wanichuna tu.......sasa cha moto utakiona.
1. Silipi tena ada ya mdogo wako
2.Hiyo gari nirudishie
3.Watoto wangu nawapeleka kwa bibi yao
4. Kuanzia leo tusijuane
ur not the one hata mwandiko wako ni wa kijana yeye mzee na mtamu balaa na hana mda huo sasa hivi yupo kwenye madili yake hana mda wa kuandika humu
 
mwenye masiki na asikie na mwenye macho asome....! na kaka zenu hatutaki vilio badae kuleta vurugu kwenye ndoa zetu!mkaishie sebuleni na mrudi kwa baba zenu kama bahati yako baba na mama yak obado wapo!
 
Kwa hiyi sasa hivi unaiba na mume wa mtu na kumchuma pesa kama kawa halafu unaandika maisha unavyoyapenda etc then unasema unakosa mtu tu wakumuita wa kwako.

Mie sioni kama unafundisha mtu hapa si bora usingeandika maneno mengine yakutamanisha, acha hizo unataka tu wafuasi.

Haya na wewe nakwambia mume wa mtu ni sumu, huyo kigogo ni sumu. Utalia vyote vikipotea siku moja inaweza chukua dakika tu. Haujisikii vibaya kuiba mume wa mwanamke mwenzako? Ulidhani utaolewa ndio maana ulimshikiria sasa unaona kila kitu second best au hata iyo nakupa chati yaani wewe ni hata hauna dhamani kwake.

Shughuli zake zote yeye na mkewe na watoto wao.
Koma kuiba mume wa mtu, nimefurahi akuchukulii kama mke umeshindwa kumfanya wako unalia lia sasa.
 
at least umekuja na kitu positive leo, na huenda ukaokoa vibinti vingi ingawa chini umeharibu kwa kuwatempt na "achievements" zako.
Waambie basi kuhusu unlucky majority ambao hawajamake anything out of married men zaidi ya kuambulia magonjwa tu.
 
mi sijaelewa? kuna faida au hakuna faida kudate hawa mba! ila nimeelewa kitu kimoja kwa hii thread kumbe waume za watu ni source of income eeeh au
 
nimekupm dada! sina hata boda boda mwenzio
hata gest nalipia mwenyewe
 
at least umekuja na kitu positive leo, na huenda ukaokoa vibinti vingi ingawa chini umeharibu kwa kuwatempt na "achievements" zako.
Waambie basi kuhusu unlucky majority ambao hawajamake anything out of married men zaidi ya kuambulia magonjwa tu.
kulala peke yangu(kipindi cha baridi) bt huwa inatokea mara chache tunaposafiri au anapoaga anasafiri tunalala wote,zamani alikuwa ananiwekea limitations za simu but nowdays I can call him anytime ila name nina roho namuonea huruma mwanamke mwenzangu huwa nabehave( ila mke akiniboa anakiona kimbembe change) na kuhusu magonjwa hapana kwa kweli nashukuru sina magonjwa na yeye hana because wote tunajilinda
 
Unawapa ushauri huku ukiwapa mafanikio yako unadhani wataacha kufanya kama uliyofanya wewe?Sijaona umuhimu wa kile ulichokusudia kwa wanaJF zaidi ya kujisifia pekee.
 
Back
Top Bottom