Angalizo kwa mabinti wa humu!!!!!!!

Angalizo kwa mabinti wa humu!!!!!!!

uuuuuuuuuwih!
I..................................
mbn hivi wenzio na mvua hiziiiiiiiiiiiii
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:

Nikuazime mwamvuli mtani...??? Mtani mwenzako nimepata mwaliko wa kumtembelea bi dada, sasa hebu andaa list ya waume za watu wote unaowafahamu niipeleke kwa huyu bi mkubwa aanze kukitembeza kwao
 
kulala peke yangu(kipindi cha baridi) bt huwa inatokea mara chache tunaposafiri au anapoaga anasafiri tunalala wote,zamani alikuwa ananiwekea limitations za simu but nowdays I can call him anytime ila name nina roho namuonea huruma mwanamke mwenzangu huwa nabehave( ila mke akiniboa anakiona kimbembe change) na kuhusu magonjwa hapana kwa kweli nashukuru sina magonjwa na yeye hana because wote tunajilinda
ungekuwa wa muhimu kuliko mkewe si angekuhurumia akakumiliki jumla... bado unalia lia hapo ningekuwa na wangu mwenyewe... achana na waume za watu na kipigo cha Mungu kitakuja tu.. si unajua Mungu hachelewi wala jawai na akijibu ni balaa,unatamba kabisa eti anakiona kimbembe mara nabehave namuhurumia mwanamke mwenzangu... Mungu anakuona subiri tu.
 
Na kama unataka kudate waume zawatu please usidumu nao more than a year na pia usidate wapare au wachaga hawa watu ni mabahili sana.Watakupa hela pale unapotoka nae gesti tu ila ukiwa na shida usitegemee atakupa hela(hili nimeshapitia)
Ahahahahahaha nimeipenda hii hasa sie wenye mchanganyiko wa mpare na mchaga.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nikuazime mwamvuli mtani...??? Mtani mwenzako nimepata mwaliko wa kumtembelea bi dada, sasa hebu andaa list ya waume za watu wote unaowafahamu niipeleke kwa huyu bi mkubwa aanze kukitembeza kwao

ahahhahahahhahhahhahahaah sijui nianze na nani!
 
Umejaribu kuainisha faida za unalolifanya lakini inaonesha huna furaha na amaniya moyo.pole dada,wenzio watajifunza kutoka kwako.kutoka na mume au mke wa mtu ni laana kubwa sana,inaweza kutafuna kizazi chako chote
 
Naona kama unawashauri wafuate waume za watu ili waendeshe X5 kama wewe au sijakuelewa?
 
Jamani wadogo zangu ambao hamjaolewa nawausia(japo nafsi yangu siiusii maana mimi ni mhanga tayari) please naandika kwa uchungu sana msidate na wanaume za watu.Jamani hawa watu si wazuri kabisa kwani hawatakuoa wataishia kukuzalisha tu.
Wanaume za watu wanasababisha wewe usiolewe maana wote tunajua wanaume za watu wanajua kuhonga(pesa ni silaha yao kubwa) wakiwa wanakupa pesa na kukupa matumizi wanajidai kukujali kama mke wake ila ukweli anakuharibia maisha maana vijana wanaotafuta maisha au wanaoanza maisha utawaona hawafai tena(hawa hawanaga hela kwa sababu wanakuwa wanaanza kujipanga maisha).
Kwa hiyo wewe utakuwa mtu wa kufata maisha ya wanaume wenye hela tu na probably wanaume za watu ndio tabia zao hizo.Hadi unakuja kushtuka umri umeenda na hakuna mtu wa kukuoa(hapa sie magumegume ndo tunaaply ile theory unamchukua mume wa mtu mmoja anayeeleweka kimaisha na at least mwenye kujali sana unazaa nae kabla menstruation cycle haijastop).
Na kama unataka kudate waume zawatu please usidumu nao more than a year na pia usidate wapare au wachaga hawa watu ni mabahili sana.Watakupa hela pale unapotoka nae gesti tu ila ukiwa na shida usitegemee atakupa hela(hili nimeshapitia)
Ila wewe kama unajifanya kichwa ngumu unapenda hela zaidi na hujali future nifate pm nikupe maujanja zaidi ya kuwakamata hawa watu.
Najua mtaniponda ila mie maisha yalisababisha mpaka nianze kutembea nao nikiwa darasa la 7 mpaka leo nina miaka late 30's nimeshajichokea nimejiamulia kuzaa na hapa nazaa na kigogo mkubwa sana kanifungulia biashara naamka saa 4 asubuhi hela zinanifata home,mambo yote nafanyia nyumbani shida siijui ikoje.
Naendesha x5 maisha barabara mdogo wangu yupo UK anasoma (Alhamdulillah kwa kweli)anasomeshwa na shemejie nimeriskvitu vingikwa ajili ya huyu mdogo wangu sitaki apitie maisha niliyopitia leo)

Ukiniona nimewaka vibaya sana hata hutojua miaka yangu sababu ya matunzo na hela ila natamani ningegundua mapema hayo ningeachana na hawa watu sahivi ningekuwa na mume wangu na mie.

Nimeipenda JF na naona faida ya kujiunga.......

Kumbe ndo unavyonisema hivyo.....?

Anyway kwa kuwa nakupenda kama nyumba yangu ndogo ya kunitoa stress nitakusamehe.

Lakini sio tabia nzuri hata kidogo.

Kwa kifupi Nimemindi.
 
Tatizo ni kwamba watu hawataki kuwa wakweli na kuifanya forum hii iwe ni msaada kwa wengine pia...
Binafsi kilichonishawishi kujiunga na JF ilikuwa ni reputation ya Jambo Forums (baadaye Jamii Forums)..
Hakukuwa na mambo haya ya kutafuta umaarufu mwepesi mwepesi, watu walikuwa wanajadili hoja na kutoa utatuzi pale inapobidi...
Binafsi huu naweza kuuita ni Ulimbukeni wa Tehama ndio unaotuzuzua Watanzania wengi na kupelekea kuanzisha mada zisizo na mashiko...
Najua amekosa muda wa kwenda salon ambako ndio wadada wengi hupiga porojo kama hizi basi kaamua kumwaga ujinga wake hapa...

Maneno haya ni mazuri kwa sie tunaoelewa ila yana ukakasi kwa mleta uzi.

Mleta uzi siku nyingine anaruhusiwa kuona soni
 
Jamani wadogo zangu ambao hamjaolewa nawausia(japo nafsi yangu siiusii maana mimi ni mhanga tayari) please naandika kwa uchungu sana msidate na wanaume za watu.Jamani hawa watu si wazuri kabisa kwani hawatakuoa wataishia kukuzalisha tu.
Wanaume za watu wanasababisha wewe usiolewe maana wote tunajua wanaume za watu wanajua kuhonga(pesa ni silaha yao kubwa) wakiwa wanakupa pesa na kukupa matumizi wanajidai kukujali kama mke wake ila ukweli anakuharibia maisha maana vijana wanaotafuta maisha au wanaoanza maisha utawaona hawafai tena(hawa hawanaga hela kwa sababu wanakuwa wanaanza kujipanga maisha).
Kwa hiyo wewe utakuwa mtu wa kufata maisha ya wanaume wenye hela tu na probably wanaume za watu ndio tabia zao hizo.Hadi unakuja kushtuka umri umeenda na hakuna mtu wa kukuoa(hapa sie magumegume ndo tunaaply ile theory unamchukua mume wa mtu mmoja anayeeleweka kimaisha na at least mwenye kujali sana unazaa nae kabla menstruation cycle haijastop).
Na kama unataka kudate waume zawatu please usidumu nao more than a year na pia usidate wapare au wachaga hawa watu ni mabahili sana.Watakupa hela pale unapotoka nae gesti tu ila ukiwa na shida usitegemee atakupa hela(hili nimeshapitia)
Ila wewe kama unajifanya kichwa ngumu unapenda hela zaidi na hujali future nifate pm nikupe maujanja zaidi ya kuwakamata hawa watu.
Najua mtaniponda ila mie maisha yalisababisha mpaka nianze kutembea nao nikiwa darasa la 7 mpaka leo nina miaka late 30's nimeshajichokea nimejiamulia kuzaa na hapa nazaa na kigogo mkubwa sana kanifungulia biashara naamka saa 4 asubuhi hela zinanifata home,mambo yote nafanyia nyumbani shida siijui ikoje.
Naendesha x5 maisha barabara mdogo wangu yupo UK anasoma (Alhamdulillah kwa kweli)anasomeshwa na shemejie nimeriskvitu vingikwa ajili ya huyu mdogo wangu sitaki apitie maisha niliyopitia leo)

Ukiniona nimewaka vibaya sana hata hutojua miaka yangu sababu ya matunzo na hela ila natamani ningegundua mapema hayo ningeachana na hawa watu sahivi ningekuwa na mume wangu na mie.

Unanichanganya sasa,
 
Nikuazime mwamvuli mtani...??? Mtani mwenzako nimepata mwaliko wa kumtembelea bi dada, sasa hebu andaa list ya waume za watu wote unaowafahamu niipeleke kwa huyu bi mkubwa aanze kukitembeza kwao

kijana sijakualika nimekuambiwa naweza kukuajiri ukawa dereva gardener hata geatman unachonga sana vp mwenzetu mmzima au tayari?
 
anasaini mkataba wa ..... USWISS usijipake shombo

Back
Top Bottom