Angalizo kwa mabinti wa humu!!!!!!!

Angalizo kwa mabinti wa humu!!!!!!!

Words like Alhamdulillah -[Meaning- By the Graces of Allah/God] seem to so misplaced in this instance. So, kuzini na kuza wanaharamu saa hiyo humjui Mungu?

It seems you haven't only lost 'time' doing what your doing - you have also lost morality and dignity...materialist gain haven't made you complete right? This is the reason God has sent all these prophets to his beings, so they can learn to be...

Perhaps time to re-evaluate without glorifying your 'achievements' whilst committing crimes against Allahs rullings - One shall not commit zina -

With that I take my self righteous-self off your thread. 🙂
 
itakuwa uliwahi kuibiwa mumeo bi dada, pole sana naona unatoa machungu yako hapa si bure!
Kwa hiyi sasa hivi unaiba na mume wa mtu na kumchuma pesa kama kawa halafu unaandika maisha unavyoyapenda etc then unasema unakosa mtu tu wakumuita wa kwako.

Mie sioni kama unafundisha mtu hapa si bora usingeandika maneno mengine yakutamanisha, acha hizo unataka tu wafuasi.

Haya na wewe nakwambia mume wa mtu ni sumu, huyo kigogo ni sumu. Utalia vyote vikipotea siku moja inaweza chukua dakika tu. Haujisikii vibaya kuiba mume wa mwanamke mwenzako? Ulidhani utaolewa ndio maana ulimshikiria sasa unaona kila kitu second best au hata iyo nakupa chati yaani wewe ni hata hauna dhamani kwake.

Shughuli zake zote yeye na mkewe na watoto wao.
Koma kuiba mume wa mtu, nimefurahi akuchukulii kama mke umeshindwa kumfanya wako unalia lia sasa.
 
Darasa la saba ulianza kutembea na waume za watu? duh. Jichokee mwaya kipumue kikustiri uzeeni.

Teh teh teh! I like that Karucee. Inaonyesha jinsi Zahra alivyokosa peace of mind. Na X5 yake anatapatapa tu. She will never be satisfied! Bora watu8 alivyomchamba. Watu wengine wanaanzisha thread kwa kufikiri kwa maka..lio. Shame on you Zahra White or black!
 
hahahaaaaaa abigaildon17. hujanikera. Chukua 5!!!
 
Last edited by a moderator:
itakuwa uliwahi kuibiwa mumeo bi dada, pole sana naona unatoa machungu yako hapa si bure!

Kuibiwa??? unazani kila anayeandika humu ndio lazima amepitia hayo? tunayaona hapa duniani. hii kitu ya marafiki wa familia wa karibu mzee alilowea kwa hawala aasahau familia na mke na watoto waliteseka sanaaaaaaa yaani kama vile walikuwa hawana baba alie hai na mwenye pesa. ilisikitisha sana sasa wamekua wanajitegemea Mungu yu nao karibu nadhani wanapesa kupita alizokuwa nazo baba yao. so huu ni mfano mmoja ukiona watu wa karibu wanateseka sababu ya wezi wa kutafuta waume za watu, na wengi uenda kwenye juju.

Mie atakae jaribu siku hiyo ndio mwanzo wa tabu maishani mwake ipo auto hiyo chezea dunia hiii kuna watu na watu htuko sawa.
 
Fulsa ni kipimo cha akili ndio maana wote tukazaliwa , tukapitia utoto, utu uzuma na uzee ili mwisho wa siku tupimwe kwa maamuzi yetu na matendo yetu.
 
Kwa hiyi sasa hivi unaiba na mume wa mtu na kumchuma pesa kama kawa halafu unaandika maisha unavyoyapenda etc then unasema unakosa mtu tu wakumuita wa kwako.

Mie sioni kama unafundisha mtu hapa si bora usingeandika maneno mengine yakutamanisha, acha hizo unataka tu wafuasi.

Haya na wewe nakwambia mume wa mtu ni sumu, huyo kigogo ni sumu. Utalia vyote vikipotea siku moja inaweza chukua dakika tu. Haujisikii vibaya kuiba mume wa mwanamke mwenzako? Ulidhani utaolewa ndio maana ulimshikiria sasa unaona kila kitu second best au hata iyo nakupa chati yaani wewe ni hata hauna dhamani kwake.

Shughuli zake zote yeye na mkewe na watoto wao.
Koma kuiba mume wa mtu, nimefurahi akuchukulii kama mke umeshindwa kumfanya wako unalia lia sasa.

heheheeeee!umenifurahishaje mzurimie!bi dada yaelekea ilikuwa anaambiwa mama ngina namuacha kesho,kesho ikawa kesho,hatimae mwaka kesho,oooh miaka ikapita ikawa jioni,ikawa asb,hakuna dalili ya kuachwa mke!chezea mume wa mtu,atakwambia simpendi,simtaki,kumbe akirudi nyumbani mke anaitwa baby,sweety,honey! mume wa mtu sumu tena sumu kali!
 
Kafanye blood test, darasa la saba umeanza kuzini na waume wa watu? Mhh! Kweli we ni mzoefu .....bila shaka unazishika amri za mkuu lucifer vizuri. Tunakuomba usiwa spoil dada zetu na mauchafuchafu yako unayoyapa jina la maujanja!
Ninyi ndo mnasababisha familia nyingi zinabaki zinajuta na kutaabika hapa duniani kwa kwa kuwateka waume wa watu na kuwaambukiza magonjwa yasiyotibika. Mtu kama wewe hata kwa waganga ukute unakwenda na kuona ndio maujanja.
Ulimwengu wa sasa binti mwenye hekima na hofu ya Mungu inabidi awe makini sana na hawa mawakala wa shetani waliovamia hadi mitandao ya internet. Hili ni pepo linaloishi kwa sura ya kibinaadamu, halina maujanja yoyote zaidi ya kueneza uharibifu kwa hila la kishetani.
Hili pepo litakuja na maneno yaliotiwa sukari ili kuwavuta mabinti wengine wasio na ufahamu wa kazi za shetani na kuwaaminisha uzinzi ndio njia pekee ya kutoka kimaisha. Eeeh tumuombe Mungu sana wajameni, bila hivyo tutaangamia wote.
Wewe pepo nakuamuru usomapo maneno haya upigwe na ganzi mwili wako wote na moto ukuunguze mikono yako ushindwe kutaype hila zako humu! Damu ya Yesu ikuongeze ufanye toba na urudi JF kuja kutoa ushuhuda wa kwamba umeamua sasa kuishi maisha masafi ya kumpendeza Mungu, amen.
 
Back
Top Bottom