Angalizo kwa mabinti wa humu!!!!!!!

Angalizo kwa mabinti wa humu!!!!!!!

"failure is success if we learn from it" nafkir madada wenzio washakuelewa na watajifunza waache tabia ya kupenda lift za bure na hela za wake wa wenzie
 
Tatizo ni kwamba watu hawataki kuwa wakweli na kuifanya forum hii iwe ni msaada kwa wengine pia...
Binafsi kilichonishawishi kujiunga na JF ilikuwa ni reputation ya Jambo Forums (baadaye Jamii Forums)..
Hakukuwa na mambo haya ya kutafuta umaarufu mwepesi mwepesi, watu walikuwa wanajadili hoja na kutoa utatuzi pale inapobidi...
Binafsi huu naweza kuuita ni Ulimbukeni wa Tehama ndio unaotuzuzua Watanzania wengi na kupelekea kuanzisha mada zisizo na mashiko...
Najua amekosa muda wa kwenda salon ambako ndio wadada wengi hupiga porojo kama hizi basi kaamua kumwaga ujinga wake hapa...

watu8 hapo mimi nakuvulia kofia wewe ni mzee wa investigation huyu naye umemkamatisha kama waleeeeeeeee uliowamatisha wakatelekeza post....kumbe njia ya muongo ni fupi wakiwepo wa kufuatilia kama wewe.
 
Naona kama vile umeweka chachu kwa vibinti sababu umetaja hasara chache ila faida nyingi. Usijali kuhusu kuolewa unaweza kuamua kutafuta kijana na ukamuoa
 
watu8 hapo mimi nakuvulia kofia wewe ni mzee wa investigation huyu naye umemkamatisha kama waleeeeeeeee uliowamatisha wakatelekeza post....kumbe njia ya muongo ni fupi wakiwepo wa kufuatilia kama wewe.

i was busy chopping money i dnt have fckng time waliosikia wamesikia yes am doing someones else's husband and am proud of it may be wewe unayechukia ni mtoto wa nje teh teh pole ee si kosa langu by the way mtoto wa kiume haandiki kama wewe.
If you have any problem just call me
 
lets meet at jackys saloon or sandra's
Tatizo ni kwamba watu hawataki kuwa wakweli na kuifanya forum hii iwe ni msaada kwa wengine pia...
Binafsi kilichonishawishi kujiunga na JF ilikuwa ni reputation ya Jambo Forums (baadaye Jamii Forums)..
Hakukuwa na mambo haya ya kutafuta umaarufu mwepesi mwepesi, watu walikuwa wanajadili hoja na kutoa utatuzi pale inapobidi...
Binafsi huu naweza kuuita ni Ulimbukeni wa Tehama ndio unaotuzuzua Watanzania wengi na kupelekea kuanzisha mada zisizo na mashiko...
Najua amekosa muda wa kwenda salon ambako ndio wadada wengi hupiga porojo kama hizi basi kaamua kumwaga ujinga wake hapa...
 
daaa pacha wa @da sorphy umetoa ushauri mzuri.kwa hiyo degree kumbe inaweza kutunza mume.
 
Mama umesema ur around 30's yrs? ni kati ya 31-39, basi tuseme una miaka 39. lakini miaka yako mbona haviendani na ulichokiandika? me kabla hujataja age nilidhani huyu atakua mtoto wa 4m2.
IQ=NORMAL. AGE/ MENTAL AGE*100.
 
Mama umesema ur around 30's yrs? ni kati ya 31-39, basi tuseme una miaka 39. lakini miaka yako mbona haviendani na ulichokiandika? me kabla hujataja age nilidhani huyu atakua mtoto wa 4m2.
IQ=NORMAL. AGE/ MENTAL AGE*100%
 
Mbona unaniumbua mpenzi. Nilijua unanipenda kumbe wanichuna tu.......sasa cha moto utakiona.
1. Silipi tena ada ya mdogo wako
2.Hiyo gari nirudishie
3.Watoto wangu nawapeleka kwa bibi yao
4. Kuanzia leo tusijuane

Unataka mtu afe kwa pressure
 
mi sijaelewa? kuna faida au hakuna faida kudate hawa mba! ila nimeelewa kitu kimoja kwa hii thread kumbe waume za watu ni source of income eeeh au

Sio wote maana kuna wengine kama Jodoki hapa tumejichokea kweli utaishia masimulizi ya nina Shamba kule kijijini Imalamakoye n.k
 
Hahahahh...ngoja nicheke mimi niongeze walau siku za kuishi kuliko kundelea kujibizana na mtu kama wewe.
Unachokifanya hapa ni kujitangazia biashara yako ya kuchukua waume za watu na huna lolote...
Mie nihangaike na shimo lako hilo lililojichokea kama domo la tahaira kutwa kudema miudenda tu...
Gari lenyewe la kuhongwa baada ya kugawa uvundo wa uwemba wako huo ndilo wajisifia...
Ptuuuuu!!!!

uuuuuuuuuwih!
I..................................
mbn hivi wenzio na mvua hiziiiiiiiiiiiii
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
i was busy chopping money i dnt have fckng time waliosikia wamesikia yes am doing someones else's husband and am proud of it may be wewe unayechukia ni mtoto wa nje teh teh pole ee si kosa langu by the way mtoto wa kiume haandiki kama wewe.
If you have any problem just call me
EMT kuja hapa nipe tafsiri ya haka kamsemo kwenye bold ukirejea mada husika!
 
Last edited by a moderator:
duu pamoja na maisha mazuri na hela zinakufuata nyumbani ila bado umeandika haya kweli pesa si kila kitu
Jamani wadogo zangu ambao hamjaolewa nawausia(japo nafsi yangu siiusii maana mimi ni mhanga tayari) please naandika kwa uchungu sana msidate na wanaume za watu.Jamani hawa watu si wazuri kabisa kwani hawatakuoa wataishia kukuzalisha tu.
Wanaume za watu wanasababisha wewe usiolewe maana wote tunajua wanaume za watu wanajua kuhonga(pesa ni silaha yao kubwa) wakiwa wanakupa pesa na kukupa matumizi wanajidai kukujali kama mke wake ila ukweli anakuharibia maisha maana vijana wanaotafuta maisha au wanaoanza maisha utawaona hawafai tena(hawa hawanaga hela kwa sababu wanakuwa wanaanza kujipanga maisha).
Kwa hiyo wewe utakuwa mtu wa kufata maisha ya wanaume wenye hela tu na probably wanaume za watu ndio tabia zao hizo.Hadi unakuja kushtuka umri umeenda na hakuna mtu wa kukuoa(hapa sie magumegume ndo tunaaply ile theory unamchukua mume wa mtu mmoja anayeeleweka kimaisha na at least mwenye kujali sana unazaa nae kabla menstruation cycle haijastop).
Na kama unataka kudate waume zawatu please usidumu nao more than a year na pia usidate wapare au wachaga hawa watu ni mabahili sana.Watakupa hela pale unapotoka nae gesti tu ila ukiwa na shida usitegemee atakupa hela(hili nimeshapitia)
Ila wewe kama unajifanya kichwa ngumu unapenda hela zaidi na hujali future nifate pm nikupe maujanja zaidi ya kuwakamata hawa watu.
Najua mtaniponda ila mie maisha yalisababisha mpaka nianze kutembea nao nikiwa darasa la 7 mpaka leo nina miaka late 30's nimeshajichokea nimejiamulia kuzaa na hapa nazaa na kigogo mkubwa sana kanifungulia biashara naamka saa 4 asubuhi hela zinanifata home,mambo yote nafanyia nyumbani shida siijui ikoje.
Naendesha x5 maisha barabara mdogo wangu yupo UK anasoma (Alhamdulillah kwa kweli)anasomeshwa na shemejie nimeriskvitu vingikwa ajili ya huyu mdogo wangu sitaki apitie maisha niliyopitia leo)

Ukiniona nimewaka vibaya sana hata hutojua miaka yangu sababu ya matunzo na hela ila natamani ningegundua mapema hayo ningeachana na hawa watu sahivi ningekuwa na mume wangu na mie.
 
Back
Top Bottom