Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,200
- 3,761
Ninamshukuru Mungu sana maana yeye si mtu hata aseme uongo. Kwa jinsi ya kibinadamu macho yangu na ufahamu unaona yafuatayo katika matokeo yanayoendelea kutolewa.
- Tume ya uchaguzi inataka kutupumbaza kwamba DR. Slaa hakuchaguliwa na watz.
- Uongo mkubwa wa kutatangazia matokeo ya kile wanachojua fika kuwa si maamuzi ya watz.
- Kutulazimisha kupenda mtu asiyependeka.
- Tume ya uchaguzi NEC na majasusi wa watz wanauwezo kumshinda muumba?
- Kuwa watulivu mpaka matokeo yote yatangazwe.
- Kuendelea kumwuliza Mungu kwamba je huyu anaeyeendelea kutangazwa ndiye chaguo la watz? na kama siyo je Mungu kwa nini atuongoze? maswali na maombi yetu Mungu ATAJIBU.
- Tusubiri tutauona mkono wa Bwana.