Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Ninamshukuru Mungu sana maana yeye si mtu hata aseme uongo. Kwa jinsi ya kibinadamu macho yangu na ufahamu unaona yafuatayo katika matokeo yanayoendelea kutolewa.
Mara baadaya matokeo haya hatua za kuchukua.
- Tume ya uchaguzi inataka kutupumbaza kwamba DR. Slaa hakuchaguliwa na watz.
- Uongo mkubwa wa kutatangazia matokeo ya kile wanachojua fika kuwa si maamuzi ya watz.
- Kutulazimisha kupenda mtu asiyependeka.
- Tume ya uchaguzi NEC na majasusi wa watz wanauwezo kumshinda muumba?
Nawatakia WaJF,CHADEMA na Watanzania mafanikio katika maisha yao na Mungu atuondolee huzuni yetu ya muda mfupi wakati tunasubiri Mungu kufanya maajabu yake ili kutupa nchi yetu ya asali na maziwa.
- Kuwa watulivu mpaka matokeo yote yatangazwe.
- Kuendelea kumwuliza Mungu kwamba je huyu anaeyeendelea kutangazwa ndiye chaguo la watz? na kama siyo je Mungu kwa nini atuongoze? maswali na maombi yetu Mungu ATAJIBU.
- Tusubiri tutauona mkono wa Bwana.
Amina!!!!