SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,342
Kama upo makini usingekosea.sehemu niliyokosea ni ndogo tu hiyo ya kusema " atateuliwa " ila nadhani CONTENT yangu nzima ya UZI imeeleweka. natamani uwe pia makini hivi hivi katika kukagua maneno hata katika THREADS zile za KIINGEREZA ili nikuamini zaidi.
Mimi sikatai maoni yako juu ya Samatta bali nakushangaa unajifanya upo makini na unajua kuliko wengine. Mimi mtu wa hivyo ndio namuona punguani. Subiri usifiwe na sio kujisifu tu. Na ndio maana nimekukosoa kidogo tu povu linakutoka ohh.. threads zile za Kiingereza andika tu na utakosolewa tu.
Nakufananisha na mtoto ambae akizidiwa jambo na mwenzie anasema ngoja baba aje!