Angalia Watanzania tunavyojidanganya; Mbwana Samatta hatoteuliwa kuwa mchezaji bora Nigeria

Status
Not open for further replies.

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,581
2,000
Nakuaminia sana sana mkuu Kama vile last tym ulivosema profesa muhongo atateuliwa na ccm kugombea urais na ikawa hivo hivo kweli
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,346
2,000
Tunaomba hiyo orodha ya wachezaji 11

na hapa ndipo wenzetu Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanapotushinda Watanzania kwani Elimu yao ni ya Mwanafunzi kujituma mwenyewe kwa 75% na Mwalimu 25% ila Udhaifu ulionao wa kutafuniwa kila kitu umetokana na mfumo wetu mbovu wa Elimu nchini Tanzania ambapo Mwanafunzi anatakiwa kutafuniwa kwa 90% na Mwanafunzi anajituma kwa 5% na zingine 5% ni za kuibia " kupiga chabo ". sikulaumu sana.
 
SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
5,712
2,000
Kutokana na kwamba wengi wetu leo tunajua kuwa Mchezaji wetu anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Tout Puisant Mazembe Mbwana Samata " POPA " leo atateuliwa kuwa Mchezaji bora huko nchini Nigeria. kwa mtu anayejua mpira na uchambuzi mzuri wa mpira kwa vigezo na sifa fulani fulani Mbwana Samata leo hawezi KUTEULIWA kuwa ni MSHINDI.

Tukutane baadae na kwa wale ambao mtapenda kufuatilia hii sherehe basi hakikisheni ifikapo tu saa tatu ( 3 ) kamili muangalie super sports nine ( 9 ). na kwa taarifa yenu ni kuwa mpaka sasa naandika UZI huu tayari wachezaji 11 watakaochuana yameshatajwa na kila nikiwaangalia hao Wachezaji wenzio ambao ni MAHIRI sioni ni wapi Mbwana Samata ATASHINDA na kinachonichekesha ni kwamba Watanzania wote na hadi media zote za Tanzania bila kusahau humu mitaani watu TUNADANGANYANA kuwa Mbwana Samata atatwaa TUZO hiyo wakati mimi naona ni NDOTO YA ABUNUASI tena ni ya MCHANA kabisa.

Nawasihi tu tujifunze KUANGALIA mambo kwa KINA na kwa UPANA wake.
Kuteuliwa maana yake nini? Fikiria kwanza kabla ya kuandika..
 
Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
kuna watu hawana kabisa akili kama huyu mleta mada.

umeandika nini ? hueleweki unakunya ama unaharisha, unahara ama unatapika.

si ungechambua.

hamnazo
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,346
2,000
Mkuu ujue kutofautisha kati ya KUTEULIWA na KUCHAGULIWA..

labda na wewe nikuulize swali ili nipime uwezo wako wa " kufikiri ". hivi tokea juzi Mbwana Samata anaondoka Tanzania Vyombo vya Habari vya nchini vimewapa " sumu " gani ambayo na nyie Watanzania kuhusu Mbwana Samata halafu na sisi kama kawaida yetu ya kukuza mambo na kuwa very " optimistic " nasi tukaingia mtegoni huku tukivimba mibichwa yetu kuwa Mbwana atashinda? watanzania tujifunze kufanya " thorough analysis " ya issues vinginevyo kila kukicha tutakuwa tunachekesha mbele ya waliotuzidi.
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,346
2,000
Kuteuliwa maana yake nini? Fikiria kwanza kabla ya kuandika..

sehemu niliyokosea ni ndogo tu hiyo ya kusema " atateuliwa " ila nadhani CONTENT yangu nzima ya UZI imeeleweka. natamani uwe pia makini hivi hivi katika kukagua maneno hata katika THREADS zile za KIINGEREZA ili nikuamini zaidi.
 
Nje ya Mada

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,405
1,500
na hapa ndipo wenzetu Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanapotushinda Watanzania kwani Elimu yao ni ya Mwanafunzi kujituma mwenyewe kwa 75% na Mwalimu 25% ila Udhaifu ulionao wa kutafuniwa kila kitu umetokana na mfumo wetu mbovu wa Elimu nchini Tanzania ambapo Mwanafunzi anatakiwa kutafuniwa kwa 90% na Mwanafunzi anajituma kwa 5% na zingine 5% ni za kuibia " kupiga chabo ". sikulaumu sana.
We Qumaa Ni mnyarwanda, Mimi nitakukomesha... Ama zako ama zangu humu tena kwa ID zako zote.
 
Granta

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
4,707
2,000
sehemu niliyokosea ni ndogo tu hiyo ya kusema " atateuliwa " ila nadhani CONTENT yangu nzima ya UZI imeeleweka. natamani uwe pia makini hivi hivi katika kukagua maneno hata katika THREADS zile za KIINGEREZA ili nikuamini zaidi.
Mwenda wazimu
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,346
2,000
kuna watu hawana kabisa akili kama huyu mleta mada.

umeandika nini ? hueleweki unakunya ama unaharisha, unahara ama unatapika.

si ungechambua.

hamnazo

kwasababu umeshazoea " kuchambuliwa " na Wazee wa kazi basi unadhani kila mtu sasa anapenda tu hako kamchezo. halafu hata hivyo kuelewa THREADS zangu napo panahitajika mtu nae awe " nondo " kichwani ila kama ukiwa ni " ngumbaru " hapo ndipo tatizo litakapoanzia.
 
Pazmanian

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
973
1,000
Bado sijaona kama kuna tatizo watu kujifariji kua samatta atashinda, sidhani ni watu wote wanaamini kwa asilimia mia kua atachukua tuzo ni ile hali ya kujifariji tu na kujiamini kua lolote linaweza tokea.
 
UDSM Alumni

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
2,364
2,000
na hapa ndipo wenzetu Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanapotushinda Watanzania kwani Elimu yao ni ya Mwanafunzi kujituma mwenyewe kwa 75% na Mwalimu 25% ila Udhaifu ulionao wa kutafuniwa kila kitu umetokana na mfumo wetu mbovu wa Elimu nchini Tanzania ambapo Mwanafunzi anatakiwa kutafuniwa kwa 90% na Mwanafunzi anajituma kwa 5% na zingine 5% ni za kuibia " kupiga chabo ". sikulaumu sana.
kichaa mkubwa wewe tena ....... ww
 
Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,141
2,000
Kutokana na kwamba wengi wetu leo tunajua kuwa Mchezaji wetu anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Tout Puisant Mazembe Mbwana Samata " POPA " leo atateuliwa kuwa Mchezaji bora huko nchini Nigeria. kwa mtu anayejua mpira na uchambuzi mzuri wa mpira kwa vigezo na sifa fulani fulani Mbwana Samata leo hawezi KUTEULIWA kuwa ni MSHINDI.

Tukutane baadae na kwa wale ambao mtapenda kufuatilia hii sherehe basi hakikisheni ifikapo tu saa tatu ( 3 ) kamili muangalie super sports nine ( 9 ). na kwa taarifa yenu ni kuwa mpaka sasa naandika UZI huu tayari wachezaji 11 watakaochuana yameshatajwa na kila nikiwaangalia hao Wachezaji wenzio ambao ni MAHIRI sioni ni wapi Mbwana Samata ATASHINDA na kinachonichekesha ni kwamba Watanzania wote na hadi media zote za Tanzania bila kusahau humu mitaani watu TUNADANGANYANA kuwa Mbwana Samata atatwaa TUZO hiyo wakati mimi naona ni NDOTO YA ABUNUASI tena ni ya MCHANA kabisa.

Nawasihi tu tujifunze KUANGALIA mambo kwa KINA na kwa UPANA wake.
Siwapendagi watu wenye upungufu Kama wewe, sema basi nani atashinda, unaandika ujinga baadaye uje kujitapa hapa! Wenue akili wangesema Samatta hawezi shinda, ila atashinda flani kwa sababu moja, mbili.....kuliko kujifanya mjuaji kumbe Maandazi kabisa...
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,346
2,000
We Qumaa Ni mnyarwanda, Mimi nitakukomesha... Ama zako ama zangu humu tena kwa ID zako zote.

asante kwa kunidhihirishia uwezo wako mdogo wa kufikiri na kuelekea katika matusi hadi kunitishia. hakuna mtu anayependa kutishiwa kama mimi duniani na kama vipi nikupe kabisa na contacts zangu binafsi kisha tukutane halafu ukitekeleze hicho unachotaka kukifanya kwangu. nafurahi pia kujua kuwa kumbe id's zangu zote humu unazijua na hii inaonyesha ni jinsi gani unavyonifuatilia na kujifunza mengi kutoka kwangu hasa jinsi ya kujenga hoja zenye akili kwani wewe huna kabisa.
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,002
2,000
Mtoa mada hujui tofauti kati tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Africa kiujumla na pia hujui tofauti yake na tuzo ya mchezaji bora kwa Ndani ya Africa anayowania Samatta na wenzake.

Usikurupuke!!!!!
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,346
2,000
Siwapendagi watu wenye upungufu Kama wewe, sema basi nani atashinda, unaandika ujinga baadaye uje kujitapa hapa! Wenue akili wangesema Samatta hawezi shinda, ila atashinda flani kwa sababu moja, mbili.....kuliko kujifanya mjuaji kumbe Maandazi kabisa...

hiyo sehemu ambayo nimeiacha ya uchambuzi niliwaachia " mangumbaru " kama nyie nanyi muijazilie lakini bahati mbaya kwakuwa mmeshazoea kutafuniwa kila kitu basi mkadhani nitawatafunia. imekula kwenu na nasema tena kwa kujiamini kabisa kuwa Mbwana Samata HATOSHINDA tutake tusitake.
 
mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,145
2,000
Unatia aibu kwa kweli

Toa pongezi inapostahili

Unaongea ka vile wachezaji waliochaguliwa kuwania tuzo hiyo ni hao watatu tu na hakuna wengine. Kutambuliwa na kuchaguliwa kuwania tu ni furaha kwa hata wananchi na wengine

Wivu mbaya
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,346
2,000
Mtoa mada hujui tofauti kati tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Africa kiujumla na pia hujui tofauti yake na tuzo ya mchezaji bora kwa Ndani ya Africa anayowania Samatta na wenzake.

Usikurupuke!!!!!

usilete maneno mengi kama " chiriku " naomba niambie Mbwana Samata AMESHINDA? kama hapana basi usipoteze muda wako kuniuliza maswali yako ya " kipuuzi " kwani ubongo wangu 24/7 umezoea kujadili mambo makubwa yanayowashirikisha watu tunaofanana kwa UPEO. watafute humu wenzio wenye akili kama zako ili mliendeleze. kitu kidogo tu kinachomfanya Mbwana Samata asishinde mmeshindwa kukijua halafu mnataka ligi na mimi. ndiyo nazidi kuwashusheni!
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,346
2,000
Unatia aibu kwa kweli

Toa pongezi inapostahili

Unaongea ka vile wachezaji waliochaguliwa kuwania tuzo hiyo ni hao watatu tu na hakuna wengine. Kutambuliwa na kuchaguliwa kuwania tu ni furaha kwa hata wananchi na wengine

Wivu mbaya

maneno haya ndiyo mliyokuwa mkiyasema tokea juzi wakati anaondoka Tanzania? au mnayasema leo baada ya kijana kuangukia pua? mnavyozidi kunijibu ndiyo mnazidi tu KUJIDHALILISHA halafu nawasanifu sana ila hamjui tu. mtalia sana ila zipo sababu nyingi zilizomfanya Mbwana Samata asishinde na zipo kama tatu ( 3 ) hivi za kuanzia ambazo zipo wazi tu lakini yakupasa uwe na upeo sana uweze kuzijua na bahati mbaya karibia watu wote mnaojifanya kunishambulia hamzijui.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom