Angalia Watanzania tunavyojidanganya; Mbwana Samatta hatoteuliwa kuwa mchezaji bora Nigeria

Status
Not open for further replies.
Kutokana na kwamba wengi wetu leo tunajua kuwa Mchezaji wetu anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Tout Puisant Mazembe Mbwana Samata " POPA " leo atateuliwa kuwa Mchezaji bora huko nchini Nigeria. kwa mtu anayejua mpira na uchambuzi mzuri wa mpira kwa vigezo na sifa fulani fulani Mbwana Samata leo hawezi KUTEULIWA kuwa ni MSHINDI.

Tukutane baadae na kwa wale ambao mtapenda kufuatilia hii sherehe basi hakikisheni ifikapo tu saa tatu ( 3 ) kamili muangalie super sports nine ( 9 ). na kwa taarifa yenu ni kuwa mpaka sasa naandika UZI huu tayari wachezaji 11 watakaochuana yameshatajwa na kila nikiwaangalia hao Wachezaji wenzio ambao ni MAHIRI sioni ni wapi Mbwana Samata ATASHINDA na kinachonichekesha ni kwamba Watanzania wote na hadi media zote za Tanzania bila kusahau humu mitaani watu TUNADANGANYANA kuwa Mbwana Samata atatwaa TUZO hiyo wakati mimi naona ni NDOTO YA ABUNUASI tena ni ya MCHANA kabisa.

Nawasihi tu tujifunze KUANGALIA mambo kwa KINA na kwa UPANA
Jamaa anabwabwaja tu bila kua na hoja , hii inaonyesha ni jinsi gani alivo maskini wa kufikiri.
 
usilete maneno mengi kama " chiriku " naomba niambie Mbwana Samata AMESHINDA? kama hapana basi usipoteze muda wako kuniuliza maswali yako ya " kipuuzi " kwani ubongo wangu 24/7 umezoea kujadili mambo makubwa yanayowashirikisha watu tunaofanana kwa UPEO. watafute humu wenzio wenye akili kama zako ili mliendeleze. kitu kidogo tu kinachomfanya Mbwana Samata asishinde mmeshindwa kukijua halafu mnataka ligi na mimi. ndiyo nazidi kuwashusheni!

Ameshinda!!!!

Shame on you mbishi mkubwa wewe.

Au ulikuwa na chuki binafsi na Mbwana Samatta?

Ametwaa tuzo kajinyonge kuzimu.
 
African player of the year based in Africa goes to Mbwana Samatta (Tanzania) #GloCAFAwards2015
 
Huyu jamaa uchawi wake umeshindwa haya atuambie alikuwa anamzungumzia Samatta gani ?
 
Kutokana na kwamba wengi wetu leo tunajua kuwa Mchezaji wetu anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Tout Puisant Mazembe Mbwana Samata " POPA " leo atateuliwa kuwa Mchezaji bora huko nchini Nigeria. kwa mtu anayejua mpira na uchambuzi mzuri wa mpira kwa vigezo na sifa fulani fulani Mbwana Samata leo hawezi KUTEULIWA kuwa ni MSHINDI.

Tukutane baadae na kwa wale ambao mtapenda kufuatilia hii sherehe basi hakikisheni ifikapo tu saa tatu ( 3 ) kamili muangalie super sports nine ( 9 ). na kwa taarifa yenu ni kuwa mpaka sasa naandika UZI huu tayari wachezaji 11 watakaochuana yameshatajwa na kila nikiwaangalia hao Wachezaji wenzio ambao ni MAHIRI sioni ni wapi Mbwana Samata ATASHINDA na kinachonichekesha ni kwamba Watanzania wote na hadi media zote za Tanzania bila kusahau humu mitaani watu TUNADANGANYANA kuwa Mbwana Samata atatwaa TUZO hiyo wakati mimi naona ni NDOTO YA ABUNUASI tena ni ya MCHANA kabisa.

Nawasihi tu tujifunze KUANGALIA mambo kwa KINA na kwa UPANA wake.
We jamaa sasa unajisikiaje AIBU YAKO hahahaha
 
Kwa taarifa yenu nilianzisha ule UZI kwa makusudi tu ili TUCHARURANE humu muda uende ili TUSIBOREKE na TUSILALE kwani hata Mimi nilijua kabisa kuwa Mbwana Samata ATASHINDA tu. hata hivyo si mmeona lakini UZI umesaidia kutuweka wote macho hadi sasa hivi Sherehe imemalizika? Hamna mtu niliyefurahi USHINDI wa Mbwana Samata kama Mimi. Hureeeeeeeeeeeee POPA! haya muda wa KUCHARURANA umeisha na sasa TULALENI ili kesho tuwahi makazini. hongera kwa nyote TULIOKUWA TUKICHARURANA na nimefurahi kuwa nanyi kwani mbinu yangu ya KIUCHOKOZI ili tuvute muda IMEFANIKIWA 100%.
 
ile division five iko wapi ilete uchambuzi wake sasa...

anatafutia kiki jf..nyauu ww..
nenda instagram kwa akina GIGY wapuuuzi wenzio...
 
usilete maneno mengi kama " chiriku " naomba niambie Mbwana Samata AMESHINDA? kama hapana basi usipoteze muda wako kuniuliza maswali yako ya " kipuuzi " kwani ubongo wangu 24/7 umezoea kujadili mambo makubwa yanayowashirikisha watu tunaofanana kwa UPEO. watafute humu wenzio wenye akili kama zako ili mliendeleze. kitu kidogo tu kinachomfanya Mbwana Samata asishinde mmeshindwa kukijua halafu mnataka ligi na mimi. ndiyo nazidi kuwashusheni!

ameshindaaaaaa
 
kwa taarifa yenu nilianzisha ule UZI kwa makusudi tu ili TUCHARURANE humu muda uende ili TUSIBOREKE na TUSILALE kwani hata Mimi nilijua kabisa kuwa Mbwana Samata ATASHINDA tu. hata hivyo si mmeona lakini UZI umesaidia kutuweka wote macho hadi sasa hivi Sherehe imemalizika? Hamna mtu niliyefurahi USHINDI wa Mbwana Samata kama Mimi. Hureeeeeeeeeeeee POPA! haya muda wa KUCHARURANA umeisha na sasa TULALENI ili kesho tuwahi makazini. hongera kwa nyote TULIOKUWA TUKICHARURANA na nimefurahi kuwa nanyi kwani mbinu yangu ya KIUCHOKOZI ili tuvute muda IMEFANIKIWA 100%.
Na angeshindwa ungesema ulisema sio??

Nani kakudanganya watu tumekaa kuangalia sababu ya hicho unachokiita KUCHARURANA??
 
Aibu n mbaya sana, sijui katokomea wap

wa kuona aubu nani cleverbright au mwingine? angalia post yangu hapo juu NIMESHAWAJIBU wale CRITICS wangu wote katika huu UZI na labda niseme tu kuwa MISSION yangu imekuwa ACCOMPLISHED na mliingia MTEGONI. na kwa TAARIFA yenu hakuna mtu niliyefurahia USHINDI huu wa Mbwana Samata POPA kama mimi na nasubiri tu arejee niende KUMLAKI na kumvisha SHADA la MAUA. jamani wengine MKALALE kesho muwahi MAKAZINI kwani wengine hata kuwepo tu HUMU tunaingiza siku na MSIIGE shauri yenu!
 
Na hapo je

ImageUploadedByJamiiForums1452204345.817725.jpg
 
Kutokana na kwamba wengi wetu leo tunajua kuwa Mchezaji wetu anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Tout Puisant Mazembe Mbwana Samata " POPA " leo atateuliwa kuwa Mchezaji bora huko nchini Nigeria. kwa mtu anayejua mpira na uchambuzi mzuri wa mpira kwa vigezo na sifa fulani fulani Mbwana Samata leo hawezi KUTEULIWA kuwa ni MSHINDI.

Tukutane baadae na kwa wale ambao mtapenda kufuatilia hii sherehe basi hakikisheni ifikapo tu saa tatu ( 3 ) kamili muangalie super sports nine ( 9 ). na kwa taarifa yenu ni kuwa mpaka sasa naandika UZI huu tayari wachezaji 11 watakaochuana yameshatajwa na kila nikiwaangalia hao Wachezaji wenzio ambao ni MAHIRI sioni ni wapi Mbwana Samata ATASHINDA na kinachonichekesha ni kwamba Watanzania wote na hadi media zote za Tanzania bila kusahau humu mitaani watu TUNADANGANYANA kuwa Mbwana Samata atatwaa TUZO hiyo wakati mimi naona ni NDOTO YA ABUNUASI tena ni ya MCHANA kabisa.

Nawasihi tu tujifunze KUANGALIA mambo kwa KINA na kwa UPANA wake.
Maskini roho yako chuki zimekujaa haya rudi sasa useme utumbo wako samata ndo kashachukua tuzo.
 
Hiii mijitu isiyo jiamini kazi yao kujizarau na kutukuza watu wa mataifa mengine.
Hata kwenye maisha watu kama hawa Kazi yao ni kukatisha tamaa watu.
Sasa mbona kachukua
Mbavu zako wewe nawachukia sana watu wa aina yako.
Huna unacho jua kazi yako kutukuza watu
 
We jamaa sasa unajisikiaje AIBU YAKO hahahaha

nijisikie aibu kwa kipi nilichokifanya wakati mimi ndiyo shabiki namba moja wa Mbwana Samata na nilikuwa kila siku namwombea ashinde na leo kweli ameshinda. hizo zingine nilikuwa nawarusheni tu roho ili tubishane na tucharurane humu muda uende na tusilale hadi atakaposhinda na katika hilo MWANAMUME nimefanikiwa. na hata hivyo kuna wengine humu ni VIBAKA maarufu hivyo kwa mimi kuanzisha huu UZI nimewaokoa Watanzania wenzangu kutokupigwa " NGETA " na baadhi yenu. na leo sijui mtamuibia nani tena saa saba ( 7 ) hii.
 
Hahahahahahaha Naona umeamua kutia reverse kwenye mwendo sema ukweli ndugu nafsi inakusuta shame on you
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom