Angalia vizuri miguu (around ankles) ya jamaa, ni fungus?

Hizo ni alama za mabuti anayovaa; yeye na Lowassa hupendelea sana kuvaa hayo mabuti yenye zipu pembeni!!Sasa sijui akiwa huko Msoga huwa anayavaa bila soksi na ndio maana yanamtia alama!!
 
Hizo ni alama za mabuti anayovaa; yeye na Lowassa hupendelea sana kuvaa hayo mabuti yenye zipu pembeni!!Sasa sijui akiwa huko Msoga huwa anayavaa bila soksi na ndio maana yanamtia alama!!

Kila siku anavaa travolta shoes mpya na ni small size? Na kwa nini wenzake wamekunja miguu yeye kanyoosha ya kwake?
 
Kila siku anavaa travolta shoes mpya na ni small size? Na kwa nini wenzake wamekunja miguu yeye kanyoosha ya kwake?
<br />
<br />
kukunja mguu kunahitaj uzoefu. Yeye uzoefu zero.
 
hizo fungus mzee

mbona kila anapoenda marekani anachekiwa na mahospitali makubwa kule???mkuu fungus kanatibika,nina mashaka ni simtoms za ile kitu bana,siku hizi tunamwona shemeji naye anabadilika bana
 
PHP:

Source: Othmanmichuzi blog

Naomba Kuuliza Hivi hao watu wasiokuwa na Kofia na walivaa kawaida ni watu wa usalama?
KAmani ndio ni nini kilichowafanya wote wageukie upande mmoja (Kushoto)
Mbona hakuna hata mmoja anaeangalia upande wa kulia? ama nyuma? maana inawezekana mtu akaja upande mmoja kuchota akili na upande wa pili action ikafanyika

ni mawazo tu
 
Mtu wa usalama ni huyo aliyekalia kiti
 
Yaani umewaza kama mimi, hao ni usalama lakini nashangaa macho yao wote wanaangalia upande mmoja, training zaidi yahitajika
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…