Angalia vidole vya Mguuni vya ama mpenzi wako vikiwa kama nitakavyoelezea Furahi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba.......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7

Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye UTADUMU nae, WA KWAKO PEKE YAKO, MTULIVU na ATAKUPENDA 24/7

Wale Wazee (hasa Watu Wazima) nina uhakika 100% hapa watakuwa WAMENIELEWA vyema na Kushukuru kuliweka wazi.
 
Toka lini umeamua kuwa mganga wa kienyeji au ndo life gumu
 
Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba.......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7

Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye UTADUMU nae, WA KWAKO PEKE YAKO, MTULIVU na ATAKUPENDA 24/7

Wale Wazee (hasa Watu Wazima) nina uhakika 100% hapa watakuwa WAMENIELEWA vyema na Kushukuru kuliweka wazi.
Mpuuzi wewe Yaan unafikiri vitu visivyo na mantiki
 
😅😅😅😅😅
Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye UTADUMU nae, WA KWAKO PEKE YAKO, MTULIVU na ATAKUPENDA 24/7
Ila mkichemka mnakoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom