Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

هت حخ كتع ضصاؤهىث رزؤن
 

Hahaha Na hilo halipo lowassa kuwa Rais ndoto
 

Nimakapi kwani uongo
 
Low as a hajui hata kuongea Na mwenyewe anajua ikulu labda ya Monduli ndio atakanyaga

Mimi mwalimu na wanafunzi wangu zaidi ya 200 wenye vichinjio wamenihakikishia kuwa watakuwa pamoja na mimi kumpigia kura Lowasa.
 
Hamna hata sehemu moja aliyo jichanganya katika kauli zake! Kauli ya kwanza aliitoa wakati akiwa UGAMBANI kauli ya pili ameitoa akiwa kwa watu MAKINI wazee wa M4C.
 
CHADEMA wanapata FREE ride ya MH Lowassa kwenda IKULU

Not right.

"CHADEMA Tunapata FREE ride ya MH Lowassa kwenda IKULU"

Dogo Freemtu.
Mimi ni Lowa wa Lowassa ride yangu ni ya Uhakika.

Tuliza BOLI dogo.


 
Njia Nyeupeeeeeeeeeee

Hiiii hiiii

Dr Silaha Ariye tu Hii hii hii.

Ukiacha Mzee EDDY mwenyewewe.
Mtu mwingine ninaye mhashimu na kumpenda ni wewe baba Ed.

Nikiwa na wewe niko salama kabisa


 

Mdau huyu jamaa hamna kitu watu wanamshabikia tu


Kule kwetu kusini kunaitwa ushabiki ndunga
 
Mimi mwalimu na wanafunzi wangu zaidi ya 200 wenye vichinjio wamenihakikishia kuwa watakuwa pamoja na mimi kumpigia kura Lowasa.

usitafute ujiko kwa kusema wewe ni mwalimu badala yake sema wewe ni mwalimu wa UPE tu na ambao wengi wenu ni form four failures na standard seven drop outs hivyo sishangai upuuzi wa hii post yako. walimu na Watanzania 99.999% Tanzania ni CCM na wanaipenda CCM na wanampenda na kumkubali kulikopitiliza Rais mtarajiwa Dr. John Pombe Magufuli.
 
Njia Nyeupeeeeeeeeeee

Hiiii hiiii

Dr Silaha Ariye tu Hii hii hii.
Kila kitu yeyey kuzila tuuuuu.

Hiiiiiiiii Hiiiiiiii

Baba ELO nakuamini saaana. Hiiiii





Dogo!

Funga domo lako Tulia, faidika na lifti.
 

Naomba ututake radhi Mbeya tuna akili timamu kabisa na tumeelimika tutamchagua Lowasa
 
Umeshaonyesha Lowassa humuelewi, je, Magufuli ulimwelewa kwa suala la kugawa Laptop ?
 
Ningekuona wa busara sana kama ungemuongelea huyo Pombe wenu.

Lowasa muache tu ni next level
 
Yupo sahihi na hakuna alichobadirisha sema mtoa post akiri yako ya kuelewa na kuchanganua imepoa kama maiti ya paka

wana CHADEMA / UKAWA wote na nyie mmeambukizwa parkinson disease kutoka kwa mgombea wenu " kubwa la makapi na fisadi " a.k.a lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…