Angalia matiti uongeze umri

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,037
20,333
Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke?

hapana Umekosea ,sivyo unavyofikiria?


120923160553_matiti_kisa_304x171_internet_nocredit.jpg


Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kitu cha kwanza kabisa wanaume anachoangalia katika mwanamke ni matiti. Naam Matiti.

Chuo kikuu cha Victoria University of Wellington nchini Uingereza, kimefanya utafiti na kubainisha kwamba kabla ya mwanamume kuangalia tabia, elimu au nasaba ya mwanamke wao hupiga jicho kwanza kabisa kifuani kuangalia kukoje?

Haya,mimi nadhani utafiti huu ulifanyiwa wazungu peke yao, sio waafrika. Lakini ndio utafiti wenyewe huo.

Watafiti hao wamegundua kwamba wanaume wengi huwa hawa kupiga jicho ...pa mara moja tu! Hapana! Wao huangalia kwa muda mrefu kabla ya kufikia uamuzi wa nimwambie au nisimwambie?.

Ni utafiti wa chuo kikuu cha Victoria kilichoko Wellington, mjini London, Uingereza.

Jee unafahamu kuwa matiti ya wanawake sio saizi moja? Kwa kawaida moja ni kubwa lengine ni dogo. Wanasayansi wanasema titi la kushoto kawaidi huwa ndilo kubwa kushinda la kulia. Lakini tofauti yao ni ndogo mno kiasi kwamba sio rahisi mtu kugundua utofauti hiyo.

Sijiu kama unafahamu kuwa hata chuchu zenyewe za matiti zina tofautiana kwa ukubwa. Usihadaike ukaziona zote zimechomoka kifuani ukafikiri zinaelekea upande mmoja. La hasha! Chuchu moja inaelekea mbele nyengine upande kidogo
 
Kuyachungulia na kuyathaminisha kwa nje ni rahisi kupotezwa maboya. Mana utahisi ni saa 6 mchana wakati uhalisia ni saa sita ya usiku. Huwa yananyanyuliwa kwa msaada wa Brazia.

Na ukikutana nayo live yanaishia kukupunguzia siku za kuishi badala ya kukuongezea maisha.
 
Mbona mengine yanakuwaga yameshachoka yananyanyuliwa na kusimamishwa kwa msaada wa Brazia, hivyo ni rahisi kupotezwa maboya.
Hapo ukiangalia yakiwa ndani ya msaada mfano Brazia.
Ila kufaidi zaidi ni kuyaangalia yenyewe kama yenyewe.
 
Mkuu wengine hawavai brazia unakuta zimetulia Kama embe dodo mtini ....
Hao wasiotumia Tanganyika jeki ndio wapo kiuhalisia, shida yao wanazidisha sana kuyaachia wazi ili watutege. Utakuta wanayaachia 60% yakiwa wazi na kusababisha shot ya umeme kwenye mioyo yetu.
 
Daa, kumbe mimi nimepotea. Mi' huwa namalizwa na MIGUU! Yaani ya BIA.
Baada ya hapo, yanafuata mengineyo!
Anza na matiti kwanza uongeze na umri baadae fuatia na mengine kama miguu, nyuma, colour, face na mengine.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom