Angalia kwanini hupaswi kunywa soda

Angalia kwanini hupaswi kunywa soda

Hii soda nimenunua hata haijafunguliwa..kuna visoda na mauchafu ya ajabu.
Huo ni ule uchafu tunaouona kutokana na oversight ya industrial process. Swali,vipi ule tusiouona?chemical defects?etc?View attachment 110846

Afadhali huo uchafu maana utaumwa tumbo,labda utaharisha kwasababu ya infection utakunywa dawa utapona,jee hizo chemicals zilizotumika kutengenezea na preservatives.Nawaonea huruma wanao kunywa.
 
Hivi vitu tunakunywa basi tu ila tungekua na uwezo bora kuacha
 
Nilishagackia unga unaotengenezea soda wnyewe ni sumu. Km mtu unaweza kuepuka kunywa soda ni bora kujpunguza tu mapeeeeema
 
Back
Top Bottom