Angalia kwanini hupaswi kunywa soda

Angalia kwanini hupaswi kunywa soda

Na ndio maana unakunywa soda ,na kuanza kusikia kichefuchefu cha ajabu ,kumbe ushakunywa mkojo wa mwenzio.
 
Ni hatari........mimi napita tu. ukizingatia kuwa nina kisukari
 
Miaka ya Nyuma kuna mtu alikuta kiwembe kwenye soda za Fahari Bottlers kama watakaozikumbuka zile Soda zenye radha ya Nanasi
 
Soda ni kifo ,chukua neno pepsi halafu ligeuze juu chini linasomekaje?
 
Back
Top Bottom