Angalia huu utumbo wa TANESCO kwenye Facebook page yao

TinyMonster

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
248
154
Nilikuwa napekua page za Facebook nikakutana na hii kali kwenye page ya Tanesco eti wanaomba radhi kwa kutokuwepo umeme.

https://www.facebook.com/pages/Tanesco/186255581435542

Tanesco
Wapendwa wateja, umeme unaozalishwa kwa sasa ni mdogo kuliko matumizi halisi ya wananchi. Shirika kwa kushirikiana na serikali pamoja na makampuni binafsi tunafanya kila jitihada kuhakikisha tatizo hili linakwisha haraka iwezekanavyo.

Hivi nani kawaambia tunataka excuse zaidi ya umeme? huo muda wanaopoteza kukaa Facebook kwa nini wasishughulikie umeme na kupokea simu za wateja ambao wanapiga kuuliza ratiba ya mgao? Who's running that page anyway?

Tatizo ni watanzania, tumekuwa kondoo mno, tena sio kondoo dume wanaoweza kupigana bali ni kondoo jike ambao wanakuwa tu kimya hata kama wanapelekwa majinjoni. Tunapelekwa pelekwa tu na hao CCM mnaowalaumu kutwa, kama sisi sio tatizo lifanyike suala la msingi la kuwafanya hawa ccm kujielewa kuwa inawaongoza watu na sio kondoo, watu ndo wanaohitaji umeme na sio kondoo.
 
Tatizo limeanzia kwa baadhi ya wa TZ vichwa vya wendawazimu....!!!!!!!!!!!!!!!! Walivyoambiwa A...RI...Mupiya, ..Kasiiii...M..upiya....Nguv..u Mupiya wakapumbazika.....SASA Hii ya DOWANZIIIIIIIIIII na Kukatika katika kwa STIMA (U.M.M) ndo Ari yenyewe! Wapeni kura tu ari zadiii,nguvu zadiii, kasi zadiii.....Za tatizo la umeme.
 
Tatizo ni watanzania, tumekuwa kondoo mno, tena sio kondoo dume wanaoweza kupigana bali ni kondoo jike ambao wanakuwa tu kimya hata kama wanapelekwa majinjoni. Tunapelekwa pelekwa tu na hao CCM mnaowalaumu kutwa, kama sisi sio tatizo lifanyike suala la msingi la kuwafanya hawa ccm kujielewa kuwa inawaongoza watu na sio kondoo, watu ndo wanaohitaji umeme na sio kondoo.

Ndugu yangu, kuna cha kufanya zaidi ya kuwang'oa madarakani?
 
Nani atamfunga paka kengele? Ukinena au kufanya maandamano kidogo tu, wanatumwa wavaa sare, ambao pia wanajulikana kama mbwa wa kikwete. Huwa inaniboa sana.
 
Kinachotakiwa ni chadema na vyama vingine vya upinzani viendelee kuwaelimisha wananchi hasa walioko vijijini ambao wengi wakihongwa kanga na t-shirt pamoja na kunuliwa bia basi wanasahau umaskini wao. Hawa jamaa bila kuwakataa kwenye uchaguzi 2015 tutazidi kuangamia nakwambia.
 
Wakae kimya tuu kuokoa uneccessary costs!
Ata mtoto anajua tuko kwenye janga,i mean Badra akae kimya mpaka mgao utakapokwisha
 
Hapana, tatizo ni CCM. Hawa tanesco walitakiwa wakae kimya waache kutujaza hasira
Hapana, tatizo sio CCM, wakati wa Nyerere CCM kilikuwa chama kisafi kabisa pamoja na kwamba hakikuwa na upinzani! Ukimweka Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel, (au mtu yeyote aliye serious na maendeleo) kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania leo nchi itakuwa kwenye mstari ulionyooka! Tatizo ni JK, ni mwoga mno kwa sababu ni sehemu ya ufisadi!
 
Kinachotakiwa ni chadema na vyama vingine vya upinzani viendelee kuwaelimisha wananchi hasa walioko vijijini ambao wengi wakihongwa kanga na t-shirt pamoja na kunuliwa bia basi wanasahau umaskini wao. Hawa jamaa bila kuwakataa kwenye uchaguzi 2015 tutazidi kuangamia nakwambia.
Tiny hapo ndo kwanza hasira inanipanda, hivi kwa nini watanzania wanadanganyika hivi? Kwa nini wanakuwa wapumbavu? Hizi rushwa za upole, t shirt, khanga vipombe ndo vinavyotusabishia matatizo! Wako wapi majemedari wenye mioyo ya dhati kama Slaa, Mbowe? Kwa nini idadi ya wasio na msimamo kama akina J Shibuda, Zito, Nakaaya Sumari wanakuwa wengi?
 
Kaka tatizo ni chama, kuna watu ndani ya CCM wanapenda sana kufanya mabadiliko lakini wanajua wazi wakipaza sauti zao ndo watamalizwa kisiasa. Hata JK baada ya kashfa ya Richmond kama unakumbuka vilianza kutokea vitisho vya kumzuia asigombee kwa second term. The thing ni kwamba ndani ya chama kuna cancer ambayo imeshatafuna kila kitu imebaki kukizika tu.
 
Tiny hapo ndo kwanza hasira inanipanda, hivi kwa nini watanzania wanadanganyika hivi? Kwa nini wanakuwa wapumbavu? Hizi rushwa za upole, t shirt, khanga vipombe ndo vinavyotusabishia matatizo! Wako wapi majemedari wenye mioyo ya dhati kama Slaa, Mbowe? Kwa nini idadi ya wasio na msimamo kama akina J Shibuda, Zito, Nakaaya Sumari wanakuwa wengi?

Elimu ndugu yangu, Nyerere aliposema tunatakiwa kuondoa Umaskini Ujinga na Maradhi alikuwa anamaanisha upuuzi kama huu. kuna watu ambao wamezaliwa vijijini hawajawahi kukanyaga mjini na kuona watu wanaowapigia kura wanaishi maisha ya aina gani kwenye mahekalu yao ya ufukweni. Watu kama hao wanaridhika hata wakimuona mbunge wao kaenda kijijini mara moja kila baada ya miezi 6 ilimradi tu awagawie buku buku na kuwanywesha pombe.

Jk is not firm..we need a born leader to remove Tanzania from this bondage,he has failed in a million ways..he promised in 2006 that rationing would be history,sasa inakuwaje Mr. president? hii ni 2011 na tatizo liko pale pale if not worse!where does he even get the audacity to address power issues after failing us like this? he shld apologize to Tanzanians for ilying..or guys should we impeach him??
 
Kinachotakiwa ni chadema na vyama vingine vya upinzani viendelee kuwaelimisha wananchi hasa walioko vijijini ambao wengi wakihongwa kanga na t-shirt pamoja na kunuliwa bia basi wanasahau umaskini wao. Hawa jamaa bila kuwakataa kwenye uchaguzi 2015 tutazidi kuangamia nakwambia.
Mbona hao CDM wapo serikalini?..wapo kwenye kamati za bunge,na ni moja kati ya watu waliopitisha bajeti ya Ngeleja.
 
Acha majungu wewe...wabunge wa CDM ni makini kushinda hao ndioooooooooooooooo wa chama cha magamba(CCM), Hivi unaweza kumfananisha Lissu na Mbunge gani wa CCM?..Tanesco ni mradi mkubwa sana wa chama cha magamba, kama unabisha kwanini serikali isiruhusu watu binafsi au kampuni binafsi wasizalishe umeme?..
 
Cheki chini comments zilizomwagwa hapo na hakuna mtu TANESCO wa kukipitia na ku update hiyo facebook page yao, matusi matupu:

View All Comments:

"Allan Ally Wapumbavu wakubwa nyie kwendeni zenu wajinga msiokuwa na akili mnafikiria kwa matumbo na akili zenu zipo Matakoni. Toeni ujinga wenu

5 hours ago
 
Acha majungu wewe...wabunge wa CDM ni makini kushinda hao ndioooooooooooooooo wa chama cha magamba(CCM), Hivi unaweza kumfananisha Lissu na Mbunge gani wa CCM?..Tanesco ni mradi mkubwa sana wa chama cha magamba, kama unabisha kwanini serikali isiruhusu watu binafsi au kampuni binafsi wasizalishe umeme?..
Dada emily,
Samahani kama nimekuudhi,kwani kamati ya bunge ya nishati haina mbunge wa CDM?......umesoma ripoti au mapendekezo yake?
Kuna kitu gani cha maana ambacho lissu amekifanya bungeni mpaka wewe umuone ni mbunge mahiri?Kuna mswaada gani ameuandika? au ameufadhili ambao wewe umekunufaisha?..au ushabiki tu.
Kwani umeme uliopo sasa hivi si unazalishwa na watu binafsi? au ulikuwa hujui?.....Tangu serikali iliporuhusu watu binafsi(kama walivyolazimishwa na IMF/Mtei),tumekuwa tukiona ufisadi wa nguvu kwenye nishati,haya mambo hayakuwepo enzi za Al-noor Kassum.But i guess this is a bit complicated to you.
 
Kuna mtu anaitwa Badra Massoud simpendi yule mdufi yaani yeye anatumwa kuja kutuambia uwongo uwongo tu ka sio mtz yeye anaona sifa kuuza sura kwenye luninga, dada kuuza sura kwa wizara kama hiyo inayoonga wabunge hadi chai bila kitafunwa nia aibu.
 
Hapana, tatizo sio CCM, wakati wa Nyerere CCM kilikuwa chama kisafi kabisa pamoja na kwamba hakikuwa na upinzani! Ukimweka Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel, (au mtu yeyote aliye serious na maendeleo) kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania leo nchi itakuwa kwenye mstari ulionyooka! Tatizo ni JK, ni mwoga mno kwa sababu ni sehemu ya ufisadi!
Kweli tatizo siyo CCM ni uongozi unaojali matumbo yao badala ya maslahi ya watanzania mtu anasaini mkataba akifikilia ten percent ili akajenge ghorofa Mbezi beach
 
Back
Top Bottom