Angalia huu utumbo wa TANESCO kwenye Facebook page yao

Kuna mtu anaitwa Badra Massoud simpendi yule mdufi yaani yeye anatumwa kuja kutuambia uwongo uwongo tu ka sio mtz yeye anaona sifa kuuza sura kwenye luninga, dada kuuza sura kwa wizara kama hiyo inayoonga wabunge hadi chai bila kitafunwa nia aibu.

Badra anapewa makaratasi aje kuongea, ni kama kasuku anaelishwa maneno.. bahati mbaya mara nyingi anachoongea inakuwa kinyume cha kile kinachofanyika tanesco matokeo yake anaishia kuonekana katuni.
 
Nilikuwa napekua page za Facebook nikakutana na hii kali kwenye page ya Tanesco eti wanaomba radhi kwa kutokuwepo umeme.

https://www.facebook.com/pages/Tanesco/186255581435542

Tanesco
Wapendwa wateja,
umeme unaozalishwa kwa sasa ni mdogo kuliko matumizi halisi ya wananchi. Shirika kwa kushirikiana na serikali pamoja na makampuni binafsi tunafanya kila jitihada kuhakikisha tatizo hili linakwisha haraka iwezekanavyo.

What a 'stupid' explaination....hivi nani asiyejua kuwa huduma fulani inapokosekana, basi uzalishwaji wa hiyo huduma ni mdogo kuliko mahitaji? Is that the expalination Tanzanians want (if at all we need an explaination)? Atakuwa Badru tu huyu...
 
Mbona hao CDM wapo serikalini?..wapo kwenye kamati za bunge,na ni moja kati ya watu waliopitisha bajeti ya Ngeleja.
Hivi wewe kibwengo unajuwa maana ya serikali? kama umeishiwa hoja nenda facebook kabadilishane picha na dada zako, usituletee mambo ya kipuuzi hapa, au tafuta watoto wenzako wa kufanya nao mzaha.
 
CCM ni tatazo but tanesco ni tatatizo pia. mamaneja hawajui hata wafuasi wao wanafanya nini asubuhi, na bila rushwa hata hiyo service line huipati. waige makampuni ya simu labda tutavuka salama!

hao wa vijijini nao mwisho wa siku watakuwa upande wetu na kuikataa CCM kwa nguvu zao zote, bila buku kibatali hakiwaki!!!
 
CCM ndyio wakulaumiwa hawana jipya waachie chadema nchi hy ni miezi tisa kawa wa hivyo miakak miwili ijayo itakuwaje ?
 
surely i will find a page and report it as a spam to facebook, habari za kudhihaki wananchi hizo.
 
Back
Top Bottom