Anga limechafuka

Hapana ni consultant wao
Mchawi mkubwa wewe! Utatoa consultation kwa mchawi kama wewe siyo mchawi? Keanza huku kwangu nimevunjiwa wezi wakachukua vitu vyangu vingi sana, nisaidie basi kuwavimbisha matumbo au mbupuma!
 
Kwa hiyo watu wako busy kumkonfuzi rais wetu si ndivyo?? Yan akiona jipu gafla ligeuke kuwa kidoti ama?? Mbele za mungu na sala za jamaa atalala mbele hata na.hivyo vidoti.
 
Inamaana waganga wana make kuliko kipindi cha uchaguz???
 

Dakitari yupo ki-Mungu zaidi sasa sujui itakuwaje hapo
 
Sisi wananchi tupo makanisani tunamwombe rais magufuli hawatumbue tu wanayoyafanya yanazidi kumtia nguvu mh magufuli maana ndo anazidi kuyaona majipu vizur.hapa tunajiandaa kuona hili jipu uchungu January makamba anavyokamuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…