Andy Swebe ambassodor katutoka

RIP Swebe

Nakumbuka siku ulipompa company yanguvu mzee kiki kwenye ziara yake ya ughaibuni.. you were full of life, blasting energy na smile kama kawa

Hakika kila nafsi itaonja mauti
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dah....RIP Andisya Brown Swebe Mwansasu.........poleni sana wafiwa

Malafyale Ogah, umenikuna san a na inaelekea unamfahamu vilivyo Andisya kijana wa "mjomba" Brown Swebe Mwansasu.
Mipango ya mazishi ni kesho kuanzia saa nne asubuhi pale nyumbani Kwao Sinza, na kishia makaburi ya Sinza.
CHAMUDATA kupitia kwa King Makoussa na Mafumu Bilali watakuwepo kumuaga mwenzao kwa tungo mbali.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina Lake lihimidiwe.
 
Poleni sana sehemeji zangu........huu ni msiba mkubwa kwa familia ninazozifahamu sana.......kuanzia kwa ma-Chief wa Iringa hadi ma-Chief wa Tukuyu
 
Just reading a tribute note from my friend Fidelis Tungaraza kuhusu Mar Andy.....kule kwenye Michuzi Blog......kwa kweli imeniliza sana......dah...RIP Andy the "Ambassador"
 
Poleni sana sehemeji zangu........huu ni msiba mkubwa kwa familia ninazozifahamu sana.......kuanzia kwa ma-Chief wa Iringa hadi ma-Chief wa Tukuyu
Asante sana mkuu nimetoka hapo Sinza muda huu nawanamuziki wenziwe wanaendelea kutoa tungo za maombolezo pale msibani wakiongozwa na wakongwe wote na magwiji Kama King Kiki,Juma Ubaya Wengine.
Si wengi wanaoifahamu fika history ya Andy Swebe.
Kama ulivyogusia hapo juu mkuu Ogah, Andisya ni mtoto wa kutoka koo mbili maarufu, kwa baba ni ukoo wa Chief Mwambagi Mwansasu na kwa mama ni ule uko maarufu san a wa Mkwavinyika Mnyikungu(Mkwawa).
Mama Yake Andy ni dada Yake na Chief Adam Sapi.
 
_DSC4074.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom