Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

Kupitia uzi huu tujadiliane kuhusu operating system ya android. Jinsi ya kuboresha simu zetu.za android, tuulizane maswali wenye majibu walete. Tuambiane app nzuri na mambo kedekede kuhusu android

wadau natumia sony experia min tatizo kubwa kuna file ambalo lina create katika filemanager linaitwa thumbnail huwa linachukua free space zote memory card na kubakia ziro naomben msaada wa kulitatua
 
Nenda kwenye settings. Application settings.Running applications. Utaikuta hapo inarun ihold sekunde chache halafu uiachie itakuletea option ya kuSTOP.
Guys nimefunga GPS ktk simu lakini bado inarun nifanyejeee
 
Inasema "your device does not support this application"

Ok fanya hivi
Google jinsi ya kuweka whatsapp kwenye nokia x,
Utapewa link za kudown load apk file ya whats app install,kisha fungua ,itakataa kufanya kazi,delete,then down load whats app plus apk file,install,open,endelea kuburudika na whats.muhimu kumbuka kuallow simu yako kupokea apps nje ya nokia store.
Au tafuta kuna uzi ulitupiwa humu jana jinsi ya kuweka whatsapp kwenye nokia x mkuu.
 
Poa mkuu ngoja nijaribu.
 
Guys my PC imepunguza size maneno yaani font size..na nimejaribu kurekebisha ktk control panel bado ngoma.....laptop ni dell na ni win 7 ultimate help plz
 
mimi sidhani kama hii App inamadhara ktk simu yako. Kama una wasi wasi sana hakisha una anti virus imara. Au icheki hiyo tubemate kupitia browser ya operamini utaipata original.

Nashukuru kwa ushauri, nimezitumia app zote mbili (moboginie na tubemate) kwa kweli zipo fresh sana. Eid njema!!
 
Habari wakuu.kwetu moro ni shwari.
Nina tatizo na kacm changu cha mchina android yake ni 4.0.0 jee nawezaje kui update?.
 
Mimi pia highest score yako ngapiiiii na multiplier pia...mi Leo nimefika multiplier ya 30 na score ni milioni laki mbili

mimi hata sielewagi najichezea tu lakini ni gemu nzuri sana. hiyo multiplier inakazi gani!? huwa inaiona
 
mimi hata sielewagi najichezea tu lakini ni gemu nzuri sana. hiyo multiplier inakazi gani!? huwa inaiona

Inakuongezea score the higher the multiplier the higher the score......sahiv nimepata ambalo liko cracked kila kitu kipo to the maximum
 
Wakuu mimi ni mgeni kwene aya mambo ya smart 4n. ila nikidownload iz application sim yangu imekua ikiniambia "For security, your phone is set to block installation of applications not obtain frm anroid market" kama ni mambo ya kuroot nairoot vp hii huawei y300. Natanguliza shukran.
 
Mkuu kuhusu huo ujumbe unao pewa na simu yako ni kwasababu katika setting kuna sehem ipo marked kuwa isiruhusu Ku install App yoyote ambayo source yake sio play store.
Kuruhusu nenda setting->securty->unknown source then toa ile tik. Ila hakikisha una ant virus nzuri.
 
Shida yangu ni radio.

Simu nyingi za adroid zinakuja bila radio.
Napenda sana kufutilia baadhi ya vipindi kwenye radio lakini sasa nashindwa kujua napataje hilo hitaji langu.

Nikitaka download ni app gani nzuri ili nipate radio nyingi za tanzania?
 
Wakuu naona nimepata pa kusemea..... ni app gan ya kupunguza ukubwa wa audio na videos bila kuathir ubora...?
 
Shida yangu ni radio.

Simu nyingi za adroid zinakuja bila radio.
Napenda sana kufutilia baadhi ya vipindi kwenye radio lakini sasa nashindwa kujua napataje hilo hitaji langu.

Nikitaka download ni app gani nzuri ili nipate radio nyingi za tanzania?

Kwa bongo radio ni shida saaaana.
Chukua tune in radio lakn za kibongo hakuna tumia site zao kama ya rfa na clodsfm
 
Back
Top Bottom