guys nimesikia next android version ni android L, sasa kama trend yao ni kuhusu msosi, hii L inasimama badala ya chakula gani? sijapata muda wa kupita pita mtandaoni ila kwa ambao mnajua itakuwa na vitu gani tuanze kupeana taarifa
chief-mkwawa, nurbert, NingaR na wengineo
wakuu naombeni nijuzeni na hili, hivi ni kweli android phones haziitaji anti-virusi apps?! maana kuna ubishi mkubwa hapa
Haipo huko siku hizi wameitoa, kwa hiyo ni lazima utumie jf application tu. mimi nilikuwa naitumia zaidi kipindi cha nyuma maana nakuwa connected na furum mbalimbali kupitia application moja lkn kwa sasa inakiwa shida!.
Kupitia uzi huu tujadiliane kuhusu operating system ya android. Jinsi ya kuboresha simu zetu.za android, tuulizane maswali wenye majibu walete. Tuambiane app nzuri na mambo kedekede kuhusu android
wakuu i hv problem on sumsung glxy s2 kila nkifunfungua playstore inaandika connection time out.... what could b the problem
wakuu i hv problem on sumsung glxy s2 kila nkifunfungua playstore inaandika connection time out.... what could b the problem
check internet connection kama zipo sawa clear data na cache the force stop kisha reboot
Mkuu hapa kwa tatizo hili nafanyaje????[/QUOTluncher imecorrupt so unaweza reboot ikakubalia ikiataa mpaka uwipe data/factory rest then unaclear cache partition then unareboot
Mkuu hapa kwa tatizo hili nafanyaje????[/QUOTluncher imecorrupt so unaweza reboot ikakubalia ikiataa mpaka uwipe data/factory rest then unaclear cache partition then unareboot
Nimeweka tu third part launcher ambayo ni apus iko poa
mi huwa siztumii....naziona kazi less
Nimeweka tu third part launcher ambayo ni apus iko poa
iyoinatokana sana na custom rom pia zipo luncher nzuri kama adw luncher iko playstore
iyoinatokana sana na custom rom pia zipo luncher nzuri kama adw luncher iko playstore
Naomba uzuri wake
Naomba uzuri wake
download playstore utaona
Mara kwa mara tatizo hili Chief amekuwa anatuelekeza tujaribu kukagua APN zetu kama zipo kwenye mfumo wa "wap" turekebishe kuwa "internet"
tujuzane wakuu, hivi huawei y530 android 4.3. jelly bean inaweza kupata upgrade to 4.4. kitkat ?!