Nmescreen shot,nenda google search then install usiende playstore
Hii siyo halisi! Nikisearch video inaleta kwa youtube alafu hamna option ya kudownload.
Nmescreen shot,nenda google search then install usiende playstore
Hii siyo halisi! Nikisearch video inaleta kwa youtube alafu hamna option ya kudownload.
Mimi mgonjwa wa Subway Suffers ila hapa nimepata application zingine usefull
Ikizingua kabisaaaaa, tupia App inaitwa mobogiene nayo inadownlod video za youtube nk mkuu...
Mkuu Hans hii mobogiene ni kitu gani, mi huwa naiona inafanana na kirusi, huwa naifuta haraka sana!
hapana mobogiene sio kirusi bali ni App ambayo nayo ni kama play store. Ndani yake utapata App za kutosha, wallpapers, games, na youtube video ktk ubora mzuri tu.
Na ukipata utajuta kuchelewa kuipata coz ipo vizuri sana.
Hii app haipatikani play store kwa hiyo ili ni-install inabidi niende kwenye settings niruhusu app nje ya play store, sasa hii si inaweza kuwa ndio nimefungua mlango kwenye suala zima la security, unaionaje hii mkuu, kuna usalama hapa?
wakuu nahitaji application itakayoniwezesha kudownload lyrics za nyimbo mbalimbali.
Mkuu Hans pol,mi simu yangu ni nokia x nimeweka app ya whatsapp lakin kila mara inaniambia kifaa changu hakisapoti hiyo app hapa sijui nifanyeje mkuu?
Harafu pia simu yangu inakuwa haina uwezo wa kucheza video za mtandaoni ikiwemo youtube inaload tu muda wote bila matokeo yoyote hapo napo nifanyeje mkuu?
Hiyo nokia X, hizi za android?
Kuhusu kuplay youtube video itategemea na internet ya eneo ulipo.
Ndo hizo za android app.
Guys nimefunga GPS ktk simu lakini bado inarun nifanyejeee