Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

mi my dream app android ni adobe photoshop nashangaa why watu hawaitaji

Then nyengine ni freemoneyfactory na appredeem hizi unadownload apps then kila apps average unapata 0.25 usd kwa app 4 unapata dola 1 then unazitoa kama amazon gift card au kwa paypal ya mipango.

Photoshop nzuri sana
 
guys nimesikia next android version ni android L, sasa kama trend yao ni kuhusu msosi, hii L inasimama badala ya chakula gani? sijapata muda wa kupita pita mtandaoni ila kwa ambao mnajua itakuwa na vitu gani tuanze kupeana taarifa
chief-mkwawa, nurbert, NingaR na wengineo
tutegemee jina lolote lile inaweza kua Lollipop au vinginevyo
 
jamani tusaidieni wengine hatufahm,nini maana ya android maana tunatarajia kununua smart phone
 
Wakuu

Simu yangu inadownload system update lakini ninapoanza install inaniandikia error? Natumia "Galaxy nexus"

Nataka kuupdate kutoka 4.2.2 kuwa 4.3
 
kumbe GO SMS na MX video player zinauzwa siku hizi.....!? wameniambia hivyo google store
 
Msaada kuhusu tapatalk nimesha Install lakini najaribu kui szarch jamii forums siipati simu yangu nii Nokia lumia
 
Q: What is Tapatalk?

A: Tapatalk is a mobile app built specifically for forum access. Different from mobile skin or mobile version that comes with the forum system, Tapatalk allows user to have a unified interface to access multiple forums at the same time. With million of Tapatalk users, your forum can be discovered by potential new members thru Tapatalk Network and our ranking and recommendation system.

mkuu nime Install lakini bila nikiisearch jamiiforums siipat
 
mkuu nime Install lakini bila nikiisearch jamiiforums siipat

Haipo huko siku hizi wameitoa, kwa hiyo ni lazima utumie jf application tu. mimi nilikuwa naitumia zaidi kipindi cha nyuma maana nakuwa connected na furum mbalimbali kupitia application moja lkn kwa sasa inakiwa shida!.
 
Haipo huko siku hizi wameitoa, kwa hiyo ni lazima utumie jf application tu. mimi nilikuwa naitumia zaidi kipindi cha nyuma maana nakuwa connected na furum mbalimbali kupitia application moja lkn kwa sasa inakiwa shida!.

mkuu hyo jf application unaipataje?
 
Ninatumia tecno p3, niliformat memory card saiv cm inagoma kucheza nyimbo (mp3)

Tatizo n nn?
 
Back
Top Bottom