Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

Application gain nzuri ya kublock simu tena iwe ile ya MTU akikupigia imwambie haipatikatini na so inatumika.
 
List ya hizi application safi kabisa. Ndizo nilizokuwa nazo kwenye simu yangu. Hapa sikuwa na Go SMS tuu. Ndio nimedownload sasa hivi

mkuu jaribu kutumia CHOMP sms ni bora kuliko GO SMS
 
Nani anaejua ku update hizi samsung galaxy korean version maana zinanitoa jasho asee
 
Nani anaejua ku update hizi samsung galaxy korean version maana zinanitoa jasho asee

unamaanisha hizi OTA upgrade au?
Maana kuna mda zinachomoaga ila nafikiri Samsung Kies inaweza kusolve
 
unamaanisha hizi OTA upgrade au?
Maana kuna mda zinachomoaga ila nafikiri Samsung Kies inaweza kusolve
kies inasema hakuna update kwa ajili ya model hiyo, ila kwenye net zipo na hata xda zipo na nimeshazidownload nataka ku upgrade kwa kutumia odin

kwanza nimeweka cwm recovery ila haionekani (nimeshindwa kuiweka in download mode) menu yake ni ya kikorea
 
Unatumia galaxy ipi? Nilishawahi ku-update galaxy SHV-E160L kwa kutumia Odin.
 
na sisi wenye simu aina ya google inakuwaje kuweka app za whasapp?
 
unatumia galaxy ipi? Nilishawahi ku-update galaxy shv-e160l kwa kutumia odin.
shv-e160k japo nahisi zote s/l/k procedure ni moja
 
shv-e160k japo nahisi zote s/l/k procedure ni moja
1. Bonyeza Home key + Volume down + Power key vyote kwa pamoja usiachie hadi yatokee haya maandishi ya Kikorea

1.jpg
2. Ikishatokea hiyo process ya kwanza bonyeza volume up key, na itakuja hivi:

2.jpg

Mkuu hizi process zinazofata nadhani utakuwa unazifahamu, ila kwa niaba ya wengine ambao hawafahamu tunaendelea hivi:-

3. Fungua odin, unganisha cable kwenye simu na PC, simu itakuwa detected kwenye odin, pale kwenye ID:COM patabadilika rangi na kuwa ya bluu flani hivi.

4. Tick kwenye PDA na upload file lako kwenye PDA

5. Mwisho bonyeza start.
 
wakuu kuna mchina android copy ya s3 ttzo patern ilisumbua baada ikagoma kbs ukiwasha inataka email na mie sina mana nimeuziwa naweza kuifua kweli!
 
Wakuu nimejaribu kupitia page ya 1 hadi ya 4 naona giza tu hata sielewi kitu japo ni mjuzi wa haya masmartphones,

BTW: Nataka ninue Nokia X nimeambiwa sijui ina Apps za Android, so naomba mnijuze kama hii simu ni nzuri au biashara tu?
 
mkuu taratibu utaelewa tu!!
 
mi my dream app android ni adobe photoshop nashangaa why watu hawaitaji

Then nyengine ni freemoneyfactory na appredeem hizi unadownload apps then kila apps average unapata 0.25 usd kwa app 4 unapata dola 1 then unazitoa kama amazon gift card au kwa paypal ya mipango.

Watu wengi hawaitumii,lakin nadhani ni kwasababu hata ya kumpyuta inahitaji ujuzi kidogo,photoshop nnayo kwa simu na ni nzuri
 
Android app ya habari, magazeti nk kutoka kwenye blogs na mitandaoni kwa ujumla (RSS feed tu). Enjoy.:cool2:

Kurasa Tanzania

ic_launcher-web.png
sw_generic_rgb_wo_60.png
 
Attachments

  • ic_launcher-web.png
    ic_launcher-web.png
    6.5 KB · Views: 502
wakuu msaada tritel 3g roaming vodacom nagma kweny tecno m3 naomba ujanja maana nikitmia samsung inakuwepo
 
True. Ila mie sijanotice hilo. Maybe kwa sababu nimeblock ads from google. Na nimenotice hilo kuwa ina lag mostly.

mkuu nahitaji msada wa kublock adds maana apps za free nnazotumia km goal.com ni had inaboa bt nashangaa most of apps za kulipia hzina adds
 
Back
Top Bottom