Andrew, Omari, Cornell and Robert | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Andrew, Omari, Cornell and Robert

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Dec 12, 2008.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  The four horsemen of Apocalypse, gripping the fate of the nation!

  Choice is yours, which color belongs to each one of these horsemen!

  Wasifu wao:

  Andrew Chenge: Mwanasheria Mkuu;-Mikataba, Katiba, Kesi, Sheria....tuhuma.. IPTL, Rada na kadhalika

  Omari Mahita: Inspekta Jenerali wa Polisi;- Ulinzi na usalama wa Raia na Taifa.. tuhuma.. rushwa kushuka mori Polisi, kuongezeka ujambazi na uhalifu, mauaji <we,bechai, Pemba, Bulyankhulu, Mtibwa....kuwadi wa CCM

  Cornell Apson: Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kijasusi, maarufu kama Usalama wa Taifa ama siku hizi TISS.. tuhuma.. Kagoda, EPA, Kombe, Mtandao, KaLoRoKi, kampuni ya mawasiliano kumulika nchi nzima....

  Robert Mboma: Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (JWTZ).. tuhuma... Meremeta..Tangold....Mwana...Dee...

  What do these four have in common?
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wote ni mafisadi waliokubuhu.
   
 3. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2008
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  crooks!!!!!!
   
 4. Lyampinga

  Lyampinga Senior Member

  #4
  Dec 12, 2008
  Joined: Apr 13, 2008
  Messages: 143
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mafisadi.....
   
 5. Zero

  Zero JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 301
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  They are just men of high calibre being "accused" of dubious scandals!
   
 6. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Rev..!

  You said it all.

  They are seers of Apocalypse, gripping the fate of the nation!

  Our nation is in a bad shape... ! Kiama kimekodolea macho taifa...

  Ask them very closely..they will all tell you all the part they played in bringing down the beutifull national Tanzania.

  Andew...Omari... Conell and Robert ...In private ofcourse the good lord will ask both of you.. why did you play that role..and what will b your response?

  What good in humanity did you gain out of all that?

  Sijui lakini siku zaja... hawa jamaa watapandiwa huko walipo and bring them down for the sake of justice on their fate...Bila kumsahamu Mkuu wao mkubwa kabisa...Mk.pa.

  Lakini, taifa laangamia na hawa hawawezi kuukana MOKONO wao kwa kila hatua ya anagamizi hilo.

  Watakana na kujiokoa vipi?

  Nafikiri kuna jambo juu yao la kujadiliwa hapa!
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Dec 12, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  nakumbuka movie ile ya "Enemy of the State"....
   
 8. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2008
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  All these are corrupt officials!! they should be prosecuted and their properties confiscated... period!
   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Wote walipewa dhamana ya kuilinda nchi yetu and they were too smart for that!:mad:
   
 10. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Great stuff,nimeipenda hii!! tuko ukurasa mmoja mkuu!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Dec 12, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Mi nakumbuka movie ya "Coming to America"......
   
 12. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Ikiwa hawa wanne ndio walikuwa Dola nao wakaihujumu Dola, swali ni nani mwajiri wao?

  Je hawa ni wale Zimwi Frankenstein ambao wamegeuka na kujiunga na kuanza kutumomonyoa?

  Ni dhambi gani zilizofanywa na Wanasiasa wetu na Serikali mpaka hawa jamaa wameamua kuishika Serikali na nchi yetu rehani?

  Ni nani wafuasi wao? wako sehemu gani na wana nyadhifa na nafasi gani katika maamuzi ya Kitaifa? ni Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Watendaji au Wanasiasa na watu wengine wa kawaida?

  Iweje hawa Wanne, Gang of Four wawe ndio vinara wa udhalimu wote uliotokea Tanzania? Maana udhalimu mkubwa uliotokea Tanzania umetokea wao wakiwa ndio wakuu wa Dola!

  Je tuna ulinzi wa namn a gani na imani gani kuwa kesho ni salama na haitahujumiwa na hawa jamaa?

  Je walishibisha matumbo ya nani kwa miradi na fedha walizojipatia? Maana Polisi, Wanajeshi na watu wa Usalama wa Taifa na hata Ofisi ya Mwanasheria mkuu bado wana viraka na makovu na kulalamika uduni wa maisha na ugumu wa kazi zao.

  Mboma alipotaka kuchimba mgodi, Apson na Chenge walikuwa wapi kumkataza kuliingiza jeshi katika biashara? Mahita alikuwa wapi? Au walishakaa chini tangu awali na kuamua kujitwalia na kujineemesha?

  Je CCM na hatima ya Tanzania katika siasa, maendeleo, demokrasia na vita dhidi ya uhujumu vinashikiliwa mateka na hawa jamaa na wafuasi wao mpaka lini?

  Ni nguvu gani au ni siri gani walizonazo za kuweza kutishia Usalama wa Taifa letu?

  Kwa nini tuwe na woga kusikia ukweli wa maovu yaliyofanyika ambayo wao waliyasimamia ama kwa kuamrishwa au hiari na kusingizia kuwa Taifa litaingia matatizoni siri ikijulikana?
   
 13. M

  Mpanda Merikebu Senior Member

  #13
  Dec 12, 2008
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Moja ya viungo vyao ni Ben!
   
 14. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hili ni swali la msingi.

  Kuna neno KUU la kusikia juu ya mienendo ya wakuu hawa wanne.

  If we really neads the cure? We do it from CAUSE.

  So it is healing at the cause.

  Taifa linateketea... The seeds of the Cause is still not untouched...where are going with that?
   
 15. Tanzania 1

  Tanzania 1 Senior Member

  #15
  Dec 12, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 197
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  All were riding the horse backwards! They thought they were curbing the horse, fancy that they were merely holding its tail!
   
 16. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  List of Shame!
   
 17. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mmoja wao anaukwaa Ubunge...
   
 18. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Mkuu Rev,

  This is sad truth, maana hawa at one time ndio waliokuwa na nguvu za dola na huwezi kusema kua eti leo hawana influence kwenye sehemu walizowahi kuzishika nyuma, it is sad lakini ndio ukweli wenyewe.

  - Dawa sasa ni kumpa nguvu na support rais ili wafike kwenye mkono wa sheria. Tena mkuu ukitaka ninayo picha moja kwenye maktaba yangu, ya hawa wakulu wote wakiwa wamepiga pamoja, nitakutafuta naona ikiwekwa hapo juu italeta maana zaidi.
   
 19. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu naungana nanyi kuwa we are facing another sad truth. Kama CCM itampitisha kuwa mgombea wake, na kama atapita na kuwa mbunge...tusikate kuitwa wajinga. Maana wenye akili mnajua kabisa kwamba kwa kutumia akili na busara huyu jamaa hastahili kuwa mbunge. Kama watu wa Mbeya watamchagua huyo ndugu kutokana na kabila lake na sio kutokana na usafi wake basi tukiwaita wajinga hatutakosea.

  Ila kuna moja linanitatiza, kumuunga mkono muungwana kunasaidia kwenye mapambano haya au kunadhoofisha? naona pressure ndio inamfanya atumie akili zake na uwezo wake. Tukianza ku-play makamba tutakuwa tunamlostisha muungwana.
   
 20. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama sinema vile...! Bob Mboma kwnye kinyanganyiro!

  How do we analyase this!

  1. Ana uzoefu na pontentials ambazo ni vema azitumie kwa ajili ya chama mama CCM...zisipotee bure?

  2. Is trying to hide behind the umbrela ya siasa ... kwani Dhamira haitulii akilinganisha kinachotokea na ambacho angweza kukifanya kusaidi jamii ya Ki_Tz dhidi ya Ufisadi ulio kidhiri.

  3....etc
   
Loading...