Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,603
- 29,748
Kama nimesoma tangu mwanzo napata picha kwamba kinachowatokea Andrew na John ni matokeo ya kuitumikia Nchi yao kwa uaminifu.
Najua kuna wataalam hapa wanaweza kutuhabarisha madhara yanayowapata wanajeshi waliopigana au kupiganisha vita. Ile milipuko na hasa matokeo ya milipuko dhidi ya target huwa ni mojawapo ya impact tosha kwa akili ya mlipuaji kufyatuka kiaina. Kwa kuwa hapa kwetu hakuna teknolojia au hata namna ya kuwatunza hawa watu wanaoathirika vitani, basi inaishia kuwatolea mifano ya regime iliyoshindwa.
Wanaonyoosha vidole kwa wengine tukipewa nafasi ya kuwafehem utakuta wametoka ktk familia za kibongo (extended) ambazo kila mmoja amechomokea mlango wake na sana sana hawana maadili wanayoyahubiri humu.
Nipo proudly kutangaza matokeo ya utafiti nilioufanya kuwa katika kila watanzania 10 utakuta watu 9 ni mafisadi au washawahi kushiriki matendo ya kifisadi yakiwemo rushwa.
Anayepinga anyooshe kidole juu.