Hii kiburi chote mwisho wake September. hii itakuwa nafasi ya mwisho kwa wanamagamba kujisafisha. wakishindwa hapa tena then itakuwa kazi ya ziada kukirudisha chama 2015.
Huyu anakiburi cha Sheria na analindwa na JK, kwa sababu JK alimtumia katika kumng'oa SITTA kwenye kiti cha usipika, ndiyo maana CCM na serikali wanamtetea kuwa siyo FISADI. Lakini Mkuu 40ID nakuhakikishia kwamba huyu mzee wa vijisenti kiboko yake ni makamanda wa CDM tu ndiyo wenyeuwezo wa kumng'oa, ngoja tusubiri uchaguzi Bariadi. Safari hii hatukufanikiwa yawezekana hatukuweka mgombea.Mmoja wa wanaotakiwa na CCM kujivua gamba (kuondoka ndani ya chama) kwa madai ya ufisadi amelieleza mwanahalisi kuwa "kwangu gamba limeishia kiunoni,kuliondoa hapa lilipo sharti uje na shoka"Chenge alikuwa akijibu swali la mwandishi wa gazeti la mwanahalisi lililotaka kufahamu ni lini ataondoka katika uongozi wa chama chake kutokana na kutuhumiwa na ufisadi.
Nape Upo hapo?
hivi kwanini Mafisadi hawataki kuwajibika? nawachukia sana, hasa huyu chenge na mapacha wenzake.".........kwangu Gamba limeishia kiunoni kuliondoa hapa lilipo inabidi uje na Shoka"-Source Mwanahalisi la Leo kwenye Story ya JK KIGEUGEU
dah afadhali nimepata leo wa kumwuliza. Naomba unieleweshe ndugu yangu:hivi kwanini Mafisadi hawataki kuwajibika? nawachukia sana, hasa huyu chenge na mapacha wenzake.
hivi kwanini Mafisadi hawataki kuwajibika? nawachukia sana, hasa huyu chenge na mapacha wenzake.
hivi kwanini Mafisadi hawataki kuwajibika? nawachukia sana, hasa huyu chenge na mapacha wenzake.
kinyesi.Unamwonea bure Chenge, wa kulaumiwa ni JK yeye ndiyo gamba kubwa kuliko yote baba wa ufisadi nchini
kila nikisoma michango ya huyu william nashindwa kutofautisha na kinyesi.Chenge ana jeuri ya kufa mtu kwa sababu anao ushahidi kuwa JK naye alipata mgao wa fedha ya rada, hivyo hawezi kumfanya lolote vinginevyo anamwaga ugali, patamu hapo, JK unalo gamba hilo halivuki kama hutaki kunywa sumu ufe.
Hii kiburi chote mwisho wake September. hii itakuwa nafasi ya mwisho kwa wanamagamba kujisafisha. wakishindwa hapa tena then itakuwa kazi ya ziada kukirudisha chama 2015.
Jamaa kajipambanua kwa jina jipya GAMBA KIUNONIHakuna kitu hawana lolote september watasema hadi january tena. Hongera gamba kiuno komaaaaa wasikuzingue