Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Hakuna cha Septemba wala nini. CCM hawawezi kuitisha NEC kwa sasa, hadi uchaguzi mdogo wa Igunga utakapomalizika. Wanamuogopa Lowassa atawavuruga.
Haki ya nani, NEC itafanyika panapo maajaliwa.
Haki ya nani, NEC itafanyika panapo maajaliwa.