uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,047
- 8,552
Kwanini
Hakuna tena mtu ataniita kwenye kikao
cha familia kunionya--- ever.
Hakuna tena mtu ataniita kwenye kikao
cha familia kunionya--- ever.
Sometimes kichaa hua kinakupanda na kushuka!!?Jinsi unavyoandika kwa chuki tu unaonesha u poyoyo wa hali ya juu.
Sina mawasiliano yake Kwa sasaKisandu Yuko wapi?
Crook!Hakuna tena mtu ataniita kwenye kikao
cha familia kunionya--- ever.
Nimekeuelewa mkuu.Nani kasema wale wengine hawaandamwi na mikasa?
Kwa nini unadhani wako kimya namna hii?
Kwa nini unadhani ni huyo Makongoro tu ndiyo very very faintly anajitutumua kidogo?
Pole sana. Bado wana kuandama. Halafu kwanini JF hawataki utumie ile verified acc yako?Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Kati ya nani na nani, mwlfml vs govt, Among themself! As family!Nimekeuelewa mkuu.
Kumbe fukuto ni kali chini kwa chini?
Zamaani nakumbuka alikuwa na Peugeot hebu tumuulize iko wapi?Pole Andrew
Ile Peugeot yako iko wapi?..... kila mara huwa naikumbukaMy age is 70.
I have cone to the end of life.
Nimemaliza kuishi.
Nilikuwa natembea Arusha a few weeks ago,mtu mmoja akasema,"Mzee,angalia! Umri nao umekwenda!"
Nimeanzisha uzi huu. Kama mtu ana complaints against me,kwa nini asiziandike hapa?
Wanataka kuleta stupidity by which unamtazama mtu kama anaogopa,halafu unamletea visa vingi.
Halafu mtu hauelewi kwa nini balaa nyingi zinakuandama,kumbe you are encouraging it by being foolishly afraid.
Na mimi,nakumbuka sasa kwamba jana nimeagizwa niache( tabia yangu ya) kugombana na Wapinzani.
Kwa hiyo natumaini,Inshallah, hutasikia nimesema neno lolote kumsifu Rais Samia.
Wewe mhaya nini? Kujifanya Kingereza kingi wakati hauelewi kukiandika vizuri.If you come from richest family or loyal family then you try to focus on Ego , probably ur power ,mind and ability all of these will taken FASTER AND YOUR HEAD WILL REMAIN EMPTY.
there's big lesson to learn from Nyerere's family about this shit and negativity
How comes the first born Andrew Nyerere to end up in surviving life and not in living life, that is pain
Lightous be by ur side
Nani alikudanganya kuwa kichaa kina kupanda na kushuka? Kakisome vizuri, elimu kiganjani, wacxha kuendeshwa na waganga wa kienyeji na mizimu isiyokuwa na maana.Sometimes kichaa hua kinakupanda na kushuka!!?
Wasioitaka chipukizi wapo wapo tu, hawaelewi wanachokitaka.Do you see what I mean?
Watu wanauliza Chipukizi ina faida gani?
Hawa watoto wa Chipukizi ni very friendly. Wana Sunday School behaviour.
Sasa watu wengine hawataki tujue kwamba God is Love.
Wanataka Chipukizi ipigwe marufuku.
Hivi jina Poppy si ndiyo jina analopewagwa Mbwa? Nakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa na kimbwa nakiita Poppy!Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Ndiyo unajua leo?Huyu ni Andrew Nyerere mtoto wa Mwalimu Julius Nyerere aka Baba wa Taifa. Kiufupi huwa akili zake anazijua mwenyewe
Hakuna jina rasmi kwa mbwa au binadamu. Mbwa wengi tu wanaitwa majina na binadamu.Hivi jina Poppy si ndiyo jina analopewagwa Mbwa? Nakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa na kimbwa nakiita Poppy!
Pengine wewe unayeamini kuna uchawi una matatizo makubwa kuliko hata wao?Nguvu kubwa za kichawi zikitumiwa, huwa zina affect kule mbele 👉