Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Pole sana. Bado wana kuandama. Halafu kwanini JF hawataki utumie ile verified acc yako?
Maxence Melo
 
My age is 70.
I have cone to the end of life.
Nimemaliza kuishi.
Nilikuwa natembea Arusha a few weeks ago,mtu mmoja akasema,"Mzee,angalia! Umri nao umekwenda!"
Nimeanzisha uzi huu. Kama mtu ana complaints against me,kwa nini asiziandike hapa?
Wanataka kuleta stupidity by which unamtazama mtu kama anaogopa,halafu unamletea visa vingi.
Halafu mtu hauelewi kwa nini balaa nyingi zinakuandama,kumbe you are encouraging it by being foolishly afraid.
Na mimi,nakumbuka sasa kwamba jana nimeagizwa niache( tabia yangu ya) kugombana na Wapinzani.
Kwa hiyo natumaini,Inshallah, hutasikia nimesema neno lolote kumsifu Rais Samia.
Ile Peugeot yako iko wapi?..... kila mara huwa naikumbuka
 
If you come from richest family or loyal family then you try to focus on Ego , probably ur power ,mind and ability all of these will taken FASTER AND YOUR HEAD WILL REMAIN EMPTY.

there's big lesson to learn from Nyerere's family about this shit and negativity

How comes the first born Andrew Nyerere to end up in surviving life and not in living life, that is pain

Lightous be by ur side
 
Wewe mhaya nini? Kujifanya Kingereza kingi wakati hauelewi kukiandika vizuri.

Andika Kiswahili unachefua.

cc Anna Tibaijuka
Dr. Gwajima D
 
Sometimes kichaa hua kinakupanda na kushuka!!?
Nani alikudanganya kuwa kichaa kina kupanda na kushuka? Kakisome vizuri, elimu kiganjani, wacxha kuendeshwa na waganga wa kienyeji na mizimu isiyokuwa na maana.

Kuwa kichaa siyo ugonjwa, mbaya ni kuwa mwendawazimu, huo ndiyo ugonjwa wa kudumu.

Kichaa ni kama mafua tu, unayo au huna. Kwisha.
 
Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Hivi jina Poppy si ndiyo jina analopewagwa Mbwa? Nakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa na kimbwa nakiita Poppy!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom