ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,338
wagoni utawajua tu, umejuaje pm zao zimefungwa?Nafikiri huu ni ujanja mpya wa kuwapata wadada wa JF baada ya dada hawa kuwa na tabia ya kufunga pm zao!
wagoni utawajua tu, umejuaje pm zao zimefungwa?Nafikiri huu ni ujanja mpya wa kuwapata wadada wa JF baada ya dada hawa kuwa na tabia ya kufunga pm zao!
Valle Hujambo BintiAfu nilijua ni Heaven Sent nilivoona hiyo avatar, sikuangalia I'd
Mimi ni hacker mkuu na nikihamua nakupiga ban!wagoni utawajua tu, umejuaje pm zao zimefungwa?
kashindwa INVICIBLE,Mimi ni hacker mkuu na nikihamua nakupiga ban!
Hajatoa njia mbadala?Kasema hali inazidi kuwa ngumu kachoka kuisoma namba
Alioandika mtuma uzi kwa mlengwa tafadhali geuza iwe yangu kwako.
Nipe hela kwanza ndo nimpigiempigie simu mwambie aje asomeee
Sijambo,aliekuficha amesafiri eeValle Hujambo Binti
AmeenTumeaswa tuwapende watupendao. Basi hapana shaka Heaven Sent atasikia na kuitendea haki haja ya moyo wako na uyashike yote mtakayonena huko sirini.
Penda sana veveKwa kiswahili kasemaje?
To you Dearest Heaven Sent,
Seems like I have fallen in love with you…you are just the best! Now all I want to say is that I can't live without you and don't even want to. You are the best thing that has ever happened to me and i think you'll make my life complete. I adore you from my heart and soul and want to let you know that you are my little angel who i love the most. Only mwandiko wako was enough to fill my heart with this enormous LOVE. You make me so happy anytime i read ur post/comment..., that all I need now is you to make my life complete.
Your's the one and only Korboto.
cc atoto fanya mazoezi ya kubeba kapu la mama.
Nafikiri huu ni ujanja mpya wa kuwapata wadada wa JF baada ya dada hawa kuwa na tabia ya kufunga pm zao!
Kuna sehemu nimeona kaandika love,bila shaka itakuwa ni mambo ya mapenzi mapenzi, Heaven Sent Jamaa anasemaje hapa?
sikupati siku hizi baada ya kufunga pm yakoha ha ha ha ha kumbe watu wana mbinu mbadala