Andaeni sherehe, hadi hapa ushindi ni mwingi

Akiwashinda asee inabidi apewe fidia.Huwezi mpatisha tabu mwaka mzima na siku zote hizo kwa sababu tu una nguvu ya kufanya unavyotaka.Mtu alikosa uhuru wa kujumuika na watu,familia yake,muda wa kufanya mambo yake ya kumuinua kiuchumi.Sijui watu weusi kwanini tunapenda kurudishana nyuma
 
He deserve recognition aiseee what a man
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    34.5 KB · Views: 1
Wewe unaweza ukajinyonga. Usifanye hivyo buana, hii nchi ni tamu ila CCM tu ndio wanaiharibu.

Wakiacha tuwe huru namna ya kuchaguana mbona hata wewe utakuwa huna chuki?
Gentleman,
nchi yetu ni huru,
na ni vema anaestahili kunyongwa kwa mujibu wa sheria anyongwe tu na anaestahili kuishi kwa mujibu wa sheria nae aishi kwa furaha tu.

na hakuna kubabaika wala unafiki kwenye ukweli huo mtupu 🐒
 
Akiwashinda asee inabidi apewe fidia.Huwezi mpatisha tabu mwaka mzima na siku zote hizo kwa sababu tu una nguvu ya kufanya unavyotaka.Mtu alikosa uhuru wa kujumuika na watu,familia yake,muda wa kufanya mambo yake ya kumuinua kiuchumi.Sijui watu weusi kwanini tunapenda kurudishana nyuma
Hakika
 
Akiwashinda anatakiwa alipwe billion 3.7 hiyo hesabu nimeipiga kisheria kabisa
 
Gentleman,
nchi yetu ni huru,
na ni vema anaestahili kunyongwa kwa mujibu wa sheria anyongwe tu na anaestahili kuishi kwa mujibu wa sheria nae aishi kwa furaha tu.

na hakuna kubabaika wala unafiki kwenye ukweli huo mtupu 🐒
Mkata viuno Bora sana wa Lumumba unajikakamua kimtindo ili siku iende ila uharo unakutoka mdogo mdogo
 
Gentleman,
nchi yetu ni huru,
na ni vema anaestahili kunyongwa kwa mujibu wa sheria anyongwe tu na anaestahili kuishi kwa mujibu wa sheria nae aishi kwa furaha tu.

na hakuna kubabaika wala unafiki kwenye ukweli huo mtupu 🐒
Umeimba zaidi ya mwana na nusu anyongwe anyongwe, akiachiwa utakula kweli?
 
Umeimba zaidi ya mwana na nusu anyongwe anyongwe, akiachiwa utakula kweli?
Gentleman,
sina haja kuimba wala kupiga mayowe dhidi ya vitu vilivyomo kwenye katiba ya Tanzania ambayo ipo hata kabla sijazaliwa 🐒
 
Umeanza kuelewa umuhimu wa katiba baada ya kuaona kesi imeyeyuka.
 
Back
Top Bottom