Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,177
- 734
wamlete kwanza MR BEAN
Ukisema clouds media utaona watakavyokuja mbio huku povu likiwatoka na matusi juu ngoja waje....
Loading......
Yamiko'
Alafu wakimleta huyo lil wyne wasimuache Nick minaj' maana naona kama wanafanya vizuri sana wakiwa stage moja!!!
Wewe uko Tayari kulipa kiasi gani kuwaona? Ukiambiwa elfu 50 utalipa?
Yamiko'
Alafu wakimleta huyo lil wyne wasimuache Nick minaj' maana naona kama wanafanya vizuri sana wakiwa stage moja!!!
Ukisema clouds media utaona watakavyokuja mbio huku povu likiwatoka na matusi juu ngoja waje....
Loading......
Hoja yangu leo ni kuhitaji aletwe lil wayne na eminem, au ikishindikana basi hata mmoja kati yao
Haa haa haaaaa..... show ya Mr. Bean hata ikiwa muda wa kazi nitaacha kazi nikaangalie. Jamaa kajitolea kuchekesha, kaacha fani yake ya engineering sasa anapiga pesa kulewamlete kwanza MR BEAN
Atakae mleta 2Pac salute kwake
Labda Gwajima ajaribu. ..
Kazi ya Gwajima ni kufufua misukule feki.