Anayeuza laptops kama yupo naomba namba yake tufanye biashara

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
natafta laptops used 3 ziwe cheap na katika hali nzuri
dell d620
dell d610
na dell inspiron.
 

baghozed

JF-Expert Member
May 26, 2011
533
93
lap top zipo za aina tofauti zimetoka uingereza sasa kama unahitaji ngoja niwasiliane na jamaa nijue kama model unazotaka zipo na ntakwambia bei yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom