King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,573
- 1,344
Wanajamii, Salam Alleykum na Bwana Yesu asifiwe sana.
Hivi mbona wasambaa na watu wa Tanga wengi wako hapa mbuyuni, soko manyema, Dar Street, mtaa wa Ismail tena wasomali kama wote, TPC kuna hadi Wanyaki wa Mbeya japo kule ni Moshi Vijijini, watumishi wengi hapa Moshi sasa hivi ni watu wa kanda maalumu, watu wa Singapore (Singida) wapo wengi tu tena wamejaa utadhani wazawa Ghala street kuna wasomali na wahindi, hizi Shirinjiko na Hindu temple zipo tu za kutosha, nowadays kabila zote zipo.
Sasa wale wanaosema kuwa Wachagga wanaishi na nyie kwa ugumu nawashangaa sana tena sana.
Kuna watu nawasikia nawashangaa sana eti sijui nini na nini Moshi. Mara yule jamaa alisema moshi mmechelewa sana, sasa bila wewe tungeweza vipi Baba yetu.