Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Kwanza hawa TTCL wanauza bundle zao watudanganya utapata GB 3 ili hali ukitumia GB 2.3 inakata TCRA mpo na mnaona mnaita uzalendo!
 
Hawa ttcl toka Jana ukipiga huduma kwa wateja mda wrote wapo busy ... Nataka PUK mpaka natamani kuitupa na line yenyew
 
Mimi kwangu naona kwa sasa inasoma Roming tu, sijaona 4G kwa miezi kadhaa sasa na niko dar es salaam tena posta mpya hiyo roming ukitoa ndio balaa hata watsap haiwez kuingia
Hivi nani aliyewaingiza mkenge , ukiacha nabii Issah hakuna marehemu aliyewahi kufufuka .
 
Back
Top Bottom