Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Hawa TTCL mimi binafsi sijawahi kuwaamini hata siku moja,nimenunua SIM card yao nimeitupa tu magetoni.

Na upatikanaji wa vocha ndio ishu ukiwauliza wanakwambia unaweza nunua kwa tigo pesa, yan wanakulazimisha uwe na line nyingine ya tigo
 
TTCL ni washenzi sana.....

Ni takataka....sitaki kuwasikia...shirika la serikali lakini linafanya kazi kama Wakora na Wahuni...
 
Huu mtandao unapatikana kwa wanyonge kule kijijini.Mjini hamna mnyonge na huu mtando wako. Kwanza huoni aibu kutumia mtandao ulioshusha dak na Mb huku speed ya kobe
 
Huu mtandao unapatikana kwa wanyonge kule kijijini.Mjini hamna mnyonge na huu mtando wako. Kwanza huoni aibu kutumia mtandao ulioshusha dak na Mb huku speed ya kobe

ww huoni Aibu kujua mambo ya mtandao ambao haukuhusu?
 
tccl ni wababaishaji tu,,wanategemea nguvu ya dola..hata wabunge wa cccm hawatumii huo mtandao
 
Mimi kwangu naona kwa sasa inasoma Roming tu, sijaona 4G kwa miezi kadhaa sasa na niko dar es salaam tena posta mpya hiyo roming ukitoa ndio balaa hata watsap haiwez kuingia
Mimi naipata,tena fast.
 
tccl ni wababaishaji tu,,wanategemea nguvu ya dola..hata wabunge wa cccm hawatumii huo mtandao
Mimi nautumia,internet ni fast na hata voicemail ni nzuri.I like it,ila messaging including USSB messaging bado kuna shida.
 
Mzee hama bush uko
Screenshot_2018-11-17-22-32-13.jpeg
 
Mimi nautumia,internet ni fast na hata voicemail ni nzuri.I like it,ila messaging including USSB messaging bado kuna shida.

voice sawa wako vizuri sana ila kama kifurushi chako kimeisha hakuna taarifa kabisa hata ile sms Alert hakuna
 
Kuna mda nikiweka line ya ttcl inaonyesha tigo. Na mtandao wao unakatika katika kila mara. Nipo kibaha sidhani kama hii inaweza kuwa sababu!!
 
Back
Top Bottom