Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Hadi uwe ndani ya ofisi zao za TTCL pale Samora ndio itasoma 4G
 
Mimi kwangu naona kwa sasa inasoma Roming tu, sijaona 4G kwa miezi kadhaa sasa na niko dar es salaam tena posta mpya hiyo roming ukitoa ndio balaa hata watsap haiwez kuingia
Location yako tu broo
Me mbona iko poa sana....
 
Kama kuna ambaye anajua namna ua kupata hotspots ya TTCL anijuze
 
Kuna baadhi ya simu hata kama ni 3G I naandika 4G wekeni screenshort inayoonyesha LTE
 
kwa ambae yuko sehemu ambayo ana uhakika afu hapati 4G afanye yafuatayo:

Njia ya kwanza
1. kama TTCL inatumika kama line 2, iweke iwe line 1 kisha weka network mode yake kuwa LTE/3G (auto connect)


Njia ya pili
2. kama inaonyesha R juu ya mnara (kwa baadhi ya watu pamoja na H+), nenda kwenye settings za internet tafuta sehemu imeandikwa roaming kisha izime. zima data, afu washa

Njia ya tatu
3. hizo zote zikikataa, nenda TTCL ofisini kawatukane afu pita hv temana nao!

naamini itamsaidia mtu.

Bosi bora hata hiyo Roming ikiwepo naweza kusoma hata jamii forums,

Nimepiga simu sana hata wenyewe hawajui
 
Napata 4G japo wakati mwingine mpaka utoke nje ya nyumba...
Morogoro Kilakala area
 
Na upatikanaji wa vocha ndio ishu ukiwauliza wanakwambia unaweza nunua kwa tigo pesa, yan wanakulazimisha uwe na line nyingine ya tigo
Ttcl imepandikizwa magugu na makampuni binafsi ya Simu ili isije kufanikiwa na kuwasababishia hasara makampuni binafsi ndo maana hadi Leo vocha zake azipatikani kirahisi ni hujuma viongozi wa TTCL na baadhi wa wizara husika wamenunuliwa kuujumu TTCL polepole kama mashilika ya reli yalivyo ujumiwa
 
Back
Top Bottom