Hivi mmevutiwa na ile kauli mbiu kuwa rudi nyumbani kumenoga au ni uzalendo wa kupitiliza?
Kuna tofauti gani ya ttcl na tbc kwenye suala la huduma?
Anyway najua punguzo la bando ndio ulimbo uliowanasa na mwisho wa siku ndio hivyo mnateseka.
Kwa upande wangu naona hapa tz mtandao ambao huwa unaitendea haki hiyo 4G ni mmoja tu japo ni ghali lkn speed na utendakazi wake unavutia. Mnaujua!!!!
Bar mbili sio shida mkuu ila shida inakua ni mtandao unaotumia na pia device yako. Mimi natumia samsung s8 mara nyingine huwa inakua na bar moja tu lkn haitoki kwenye 4G na speed ni ile ile lkn situmii huo mtandao wao. Huyo jamaa anatumia simu ya usa hiyo inaweza kuwa sababu pia.
ngoja wataalam wa IT waje hivi kweli bar mbili za network ziweze kutoa 4G tena faster? Isije ikawa unatumia zile simu ambazo hata kama hazina line zinaweka 4G
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.