Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

ngoja wataalam wa IT waje hivi kweli bar mbili za network ziweze kutoa 4G tena faster? Isije ikawa unatumia zile simu ambazo hata kama hazina line zinaweka 4G
Mzee izo unazo zungumza n zile zina soma 4G iyo kitu ime simama ndo maana ika leta na 4G LTE baa mbili zisi kutisheee
 
Mzee izo unazo zungumza n zile zina soma 4G iyo kitu ime simama ndo maana ika leta na 4G LTE baa mbili zisi kutisheee

nimestuka sana hahaha najua ilipaswa kuonesha moja kati ya lte, au 4g au h+ sasa simu yako inaonesha zote mh hebu tupe imei namba
 
nimestuka sana hahaha najua ilipaswa kuonesha moja kati ya lte, au 4g au h+ sasa simu yako inaonesha zote mh hebu tupe imei namba
google LG G3 at&t version US baby hiyoooo
 
Hawa TTCL mimi binafsi sijawahi kuwaamini hata siku moja,nimenunua SIM card yao nimeitupa tu magetoni.
Kaka mbona simcard zao ni bure kabisa, na mm natumia mtandao wa uko poa kabisa, tujaribu kuthamini vilivyo vyakula kwetu, majamaa wamejitahidi sana hasa ukiangalia price za products zao ni tofauti na mitandao mingine
 
sasa kwa stahili hii ni ngumu kuunga mkono vya kwetu,
yani nichelewe kutuma cv au kuangalia mpira online kisa tu najali vya kwetu?
 
Mimi kwangu naona kwa sasa inasoma Roming tu, sijaona 4G kwa miezi kadhaa sasa na niko dar es salaam tena posta mpya hiyo roming ukitoa ndio balaa hata watsap haiwez kuingia
Nimeshaitupa na line yenyewe kitambo kabla sijatoka huko tz kumbe mpk leo badooo tu mkuu tz raha sana hahahaha
 
Screenshot_2018-11-17-23-46-53-1.png

Kitu mnara kinasoma 4G
 
Mimi kwangu naona kwa sasa inasoma Roming tu, sijaona 4G kwa miezi kadhaa sasa na niko dar es salaam tena posta mpya hiyo roming ukitoa ndio balaa hata watsap haiwez kuingia
Iko poa sana kwagu
 
kwa ambae yuko sehemu ambayo ana uhakika afu hapati 4G afanye yafuatayo:

Njia ya kwanza
1. kama TTCL inatumika kama line 2, iweke iwe line 1 kisha weka network mode yake kuwa LTE/3G (auto connect)

Njia ya pili
2. kama inaonyesha R juu ya mnara (kwa baadhi ya watu pamoja na H+), nenda kwenye settings za internet tafuta sehemu imeandikwa roaming kisha izime. zima data, afu washa

Njia ya tatu
3. hizo zote zikikataa, nenda TTCL ofisini kawatukane afu pita hv temana nao!

naamini itamsaidia mtu.
 
Back
Top Bottom