Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Na hapa ni Bukoba mjini kati
IMG_20190331_093032.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikumbuki hata line yake niliitupia wapi aseee maana nilianza kuona huduma zao zinazolota kisenge nikaitupilia mbali nimebali na voda langu tuuu tumefunga nalo ndoa mwaka wa 8 huu naishi nalo kwa mazoea tu ktk ndoa hii🥺

Sent using IPhone X
 
Kweli kabisa TTCL ni ugonjwa wateja wenyewe ni 5.4k lakini unapiga customer care hawana Masada wowote !
 
Kweli kabisa TTCL ni ugonjwa wateja wenyewe ni 5.4k lakini unapiga customer care hawana Masada wowote !

Wako busy na mambo makuuuubwa wakati jambo dogo tu la kupeleka vocha ol tz wanashindwa
Now hakuna cha 4g wala chochote ni full buffering tu
 
mimi hapa. ile 10 gb ya usiku inaisha yote kabla ya saa tisa. japo kuna muda spidi inapungua sana
 
Ttcl imepandikizwa magugu na makampuni binafsi ya Simu ili isije kufanikiwa na kuwasababishia hasara makampuni binafsi ndo maana hadi Leo vocha zake azipatikani kirahisi ni hujuma viongozi wa TTCL na baadhi wa wizara husika wamenunuliwa kuujumu TTCL polepole kama mashilika ya reli yalivyo ujumiwa
Hakuna shirika la umma linalojua kufanya biashara bwana unachuma dhambi tu kuwasingizia mitandao mingine
 
Wewe uwezi jua ujuma zipo wazi
Hamna Hujuma ni fikra zako tu,hakuna mtu anayeweza kuwapanga wafanyakazi wote washindwe kutoa huduma kwa jamii alafu serikali isijue,mashirika haya yamejaa watu wa system tu kila sehemu ina maana wameshindwa kujua hizo hujma? Unapiga simu customer care hata masaa mawili hakuna anaye respond,kwa hyo wanakuaga wanaambiwa kuwa acha usipokee? Ukiweka pesa yako T.PESA sahau kuitoa siku ukiwa na shid maana muda wowote mitandao inakata,hapa tu Dar sehemu kubwa kibiashara network za TTCL ni za ku pump,kujua tu dakika ngapi zimebak,naweza usipate majibu,alafu hnasingizia hujma,kama hujma ingekuwepo Magu angeshapata habari mapema tu maana vijana wake wako kila sehemu
 
Kwaiyo magu anashindwa kupata habari za wafanzakazi wazembe ili mashirika ya uma yaendelee maana kama siyo ujuma ni uzembe
 
Back
Top Bottom