Anayemfahamu huyu mtu...tuwasiliane please!

Anayemfahamu huyu mtu...tuwasiliane please!

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,595
Reaction score
1,135
Habari wana JF,kuna Baba mmoja namtafuta anaitwa "RAMADHANI CHENYEWE" anapatikana maeneo ya Tanga-Handeni,simfahamu ila kuna matatizo ya kifamilia yamenikuta...sasa niliagizwa na mtu nimtafute yeye atanisaidia,hivyo naomba kama kuna mtu anayemjua anitafute kwa "
0684192227"...au aniPM tuwasiliane...itakuwa safi nikipata mawasiliano yake,natanguliza shukrani.
 
Huyo atakuwa mganga c bure.ss kwann usimuulize aliyekuagizia kwake mkuu ili upate kumjua zaid?
 
Peleka mambo yako ya kiganga huko wewe, tena ushindwe katika jina la yesu masia
 
Ingia Google Mkuu, utampata... Au ingia katika web ya chama cha waganga Tanganyika..utampata tu huko.
 
we jamaa utakua ni mgombea wa uenyekiti wa kitongoji kwa tiketi ya ccm
 
mbona unapiga promo kwa nguvu nyingi afu tangazo la biashara hujaripia.....
 
Nenda StarTV kamtafute kwenye kipindi cha searchline utampata!!
 
Habari wana JF,kuna Baba mmoja namtafuta anaitwa "RAMADHANI CHENYEWE" anapatikana maeneo ya Tanga-Handeni,simfahamu ila kuna matatizo ya kifamilia yamenikuta...sasa niliagizwa na mtu nimtafute yeye atanisaidia,hivyo naomba kama kuna mtu anayemjua anitafute kwa "
0684192227"...au aniPM tuwasiliane...itakuwa safi nikipata mawasiliano yake,natanguliza shukrani.

Pole kwani watu wamedandia mada yako na kukuhusisha na waganga wa kienyeji wakati huenda una shida nyingine ya muhimu na inayohitaji msaada wa haraka, aliyekuelekeza kama una mawasiliano akueleze ni Handeni sehemu gani na pia akuambie bwana Ramadhani anajishughulisha na shughulu gani. Usikate tamaa utampata tu kama yu ngali hai.
 
Waganga wa sikuhizi utawapata hadi kwenye whatsapp...

Tuma barua na ndani ya barua weka pesa ya stamp kama unataka majibu...
 
kwenye website ya jf pale juu kuna kibox kimeandikwa search ebu type jna lake location then ulete mrejesho..
 
Back
Top Bottom