Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Habari wanaJF,kuna Baba mmoja anaitwa "RAMADHANI CHENYEWE" anapatikana maeneo ya Tanga-Handeni,simfahamu ila kuna matatizo yakifamilia yamenikuta...sasa kuna mtu ameniagizia kwake yeye ataweza kunisaidia,hivyo naomba sana mtu yeyote anayemfahamu anitafute kwa "0684192227" au aniPM tuasiliane,itakuwa safi kama nitapata mawasiliano yake au nielekezwe alipo,natanguliza shukrani.