Msaada nahitaji connection ya udereva Uber/Bolt kwa Dar e Salaam

Msaada nahitaji connection ya udereva Uber/Bolt kwa Dar e Salaam

Mantheman6

Senior Member
Joined
May 30, 2020
Posts
170
Reaction score
145
Habari zenu ngugu zangu poleni na majukumu ya kila siku ni imani yangu kwamba wote ni wazima wa afya.

Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ni kwamba shida yangu kuu nahitaji kuunganishwa pahala ambapo naweza nikafanya kazi kama dereva wa uber,bolt au hata gari ya kupeleka hesabu kila siku pia nipo tayari nina uzoefu wa kuendesha gari ndogo ndogo za hesabu ya kila siku kwa muda wa miaka minne sasa


Mimi naishi Daresalaam Kigamboni elimu yangu ni ya kidato cha nne na leseni yangu ni ya Daraja A B D E

Hivyo ndugu zangu kwa mwenye uwezo wa kunishika mkono katika suala hili nitamshukuru sana
 
Habari zenu ngugu zangu poleni na majukumu ya kila siku ni imani yangu kwamba wote ni wazima wa afya.

Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ni kwamba shida yangu kuu nahitaji kuunganishwa pahala ambapo naweza nikafanya kazi kama dereva wa uber au bolt nina uzoefu wa kuendesha gari ndogo ndogo kwa muda wa miaka minne sasa

Mimi naishi Daresalaam Kigamboni na leseni yangu ni ya Daraja E

Hivyo ndugu zangu kwa mwenye uwezo wa kunishika mkono katika suala hili nitamshukuru sana

Tafuta class C1 ndo utaweza endesha uber
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom