Mimi ni Dereva, natafuta kazi ya kuendesha gari ya Uber

Hassanmanz

Member
Dec 31, 2020
15
45
Habari za majukumu ndugu zangu kwa majina naitwa hassan Mohammed ninaishi Yombo Kiwalani ilala ninahitaji gari ya kazi(Uber)

Nina account zote Uber na Bolt na zote zipo active Nina uzoefu usiopungua miaka miwili Nina umri wa miaka 25 nina leseni daraja C3 napatikana kwa namba za simu zifuatavyo 0752583393/0752735552 yeyote atakae hitaji dereva nipo tayar kufanya mkataba na hesabu pia nitaleta 180,000/= kwa wiki kwa siku 26000 elimu yangu ni Form four ni mfanyaji kazi mzuri pia nazingatia sana muda wa kutuma hesabu na kutunza gari. Kwa yoyote ataekuwa tayari asisite kunitafuta kwa nambari hizo zilizopo hapo juu.

Asante.

20201028_141328.jpg
20201028_141339~2.jpg
 

Hassanmanz

Member
Dec 31, 2020
15
45
Habari za majukumu, viongozi kwa majina Naitwa Hassan Mohammed, ninatafuta gari ya Uber hesabu kwa wiki nitaleta 150000 Nina uzoefu wa kutosha Nina active Account Nina umri miaka 25 ni mtunzaji mzuri wa gari kwa yoyote atakaekuwa tayari anitafute kwenye namba hii 0752583393 natumai nitasaidiwa.

Asante nina leseni class C

1615705724452.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom