Wangekuwa critical thinker wangekuwa professional na sio kutii maagizo ya wanasiasa.Polisi ni taasisi....taasisi gani inakosa CRITICAL THINKERS?!!!
Acha maskhara ya kitoto ndugu yangu.....
Wangekuwa critical thinker wangekuwa professional na sio kutii maagizo ya wanasiasa.Polisi ni taasisi....taasisi gani inakosa CRITICAL THINKERS?!!!
Acha maskhara ya kitoto ndugu yangu.....
Utii hauhitaji elimu kubwa ujue kusoma na kuandika tuKwani unahitajika kitu gani ili uajiriwe na kuwa polisi ,je vyeo vya kipolisi vinaendana na elimu aliyosoma mtu ? isije kuwa mnaongelea mambo ambayo hamyafahamu ,mupo mpo tu !
PhD in Criminology, Honorary.RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.
Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.
Yawezekana tatizo ni elimu au tatizo ni aina ya kesi ndiyo sababu ya yeye kubanwa mahakamani hadi wakati mwingine kupata gaidance ya Mahakama.
Ili tumfahamu vizuri kama ambavyo nchi nyingine ufanya, tunaomba tupate CV yake kuona kama kwenye criminal investigation huyu anaelewa au Basi kawekwa tu.
Lakini pia kesi hii ameanza kuichunguza akiwa Arusha wakati mazingira ya kesi yapo Kilimanjaro na Dar es Salaam, je huyu ndiye alionekana nafuu Kati ya ma RCO nchi nzima au kwanini yeye na si RCO Kilimanjaro Wala Dar?
Wewe umeona mbali kama mimi. Kweli Mungu amsaidie.Imagine case ya 2020 inaibuka now,why ?Case yenyewe haina kichwa wala miguu. Hakika Mbowe atengeneze na hii case DPP mwenyewe ataamua kuiwithdraw.Natamani kumshauri kaka mbowe kitu kimoja tuu sasa.
Haya mambo yanayomkuta atafute chanzo chake atengeneze mapema.... hii ni vita yake mwenyewe, vita ya hatma yake iliyoapata nafasi ya kupitia kwenye kazi zake kumharibu.
Tatizo lipo ila mzizi wa tatizo ni nini? Asipokumbuka alipoangukia akatengeneza ataishia kuumia kwelikweli
Mungu amsaidie kutengeneza kwa kweli
Mwingi hakupigwa akiwa RAISMwinyi alipishika uraisi alitaka alindwe na waislamu akapewa waislamu kilichomkuta diamond Jubilee alipigwa makofi na kiijana mdogo mjahidina. Muislamu sababu alipewa miislamu swala tano iliyopanda vyeo kwa kelele za kidini tu ohh tunabaguliwa kumbe elimu na competence zero akaishia kuwa Raisi wa kwanza kulambwa vibao hadharani tena na kijana mdogo muislamu kwenye hafla ya kiislamu
Wewe umeona mbali kama mimi. Kweli Mungu amsaidie.Imagine case ya 2020 inaibuka now,why ?Case yenyewe haina kichwa wala miguu. Hakika Mbowe atengeneze na hii case DPP mwenyewe ataamua kuiwithdraw.
😂😂😂Leo kaiomba mahakama akajisaidie haja ndogo kesho ataomba kwenda kukata gogo kabisa itView attachment 1939193
Mbona kama nmekushika kalio au nawewe umeungaunga?? Nmeandika "mafeliazi" muelewe au??Una elimu gani mbona umeandika vibaya hivo ,unawasema wengine we mwenyewe kuandika hujui
Na hii ni dalili ya ugonjwa unaokusumbua Kwa muda mrefu ndio maana umefunguka humu jf kusaka msaada! Nikusaidieje Sasa Kama Basha wako hakufikishi? Hapo lumumba mmejazana Michele mitupu na mnalogana kupigania mabasha! Sogea Kwa waarabu hapo kariakoo wakusaidie kufikia kileleni! Kijana mwiba Kama wewe ni hasara Kwa wazazi wako Bora babako angepiga puchu!Hiyo akili !Ni dalili ya mwanamke asifikishwa kileleni huwa ana stress.Wewe ni mgonjwa tafuta ti
Magonjwa Mtambuka Iboya2021 mama D magu2016 Ritz Wakudadavuwa Simiyu Yetu
Kama ambavyo walimuingiza chaka mwendazake ndio style hiyohiyo wanamuingiza chaka mama ili wamuaminishe maadui wa taifa ni wapinzani na ilhali maadui halisi wa kwake na taifa yuko nao chamani mwake.Mama akiona mavyeo ya watu wakiongea kwenye vikao vyao anajua wapo sahihi hiyo Ijumaa Kamanda Sirro ataomba udhuru maana nae ana maswali yake ya kitata akitoka hapo havui viatu mpaka jumamosi...
Toa ushaidi wa kesi ya ugaidi sio uhaini, USA mpaka Leo wanaangaika na magaidi huko Guantanamo bay kwakuwa hawana ushaidi dhidi yao sembuse huu ugaidi wa laki sita, pistol moja yenye risasi tatu, madawa ya kulevya, na kuangusha miti barabaraniKutanguliza ushabiki mbele kwa masuala ya msingi ni kujidanganya kabisa....kesi IPO ...Jamhuri sio wajinga kihivyo Kama mnavyojidanganya...kwenye kesi za namna hii evidence moja tu...inaweza ikaamua hatima ya kesi ...sisi wengine ni wafuatiliaji wazuri wa kesi za Aina Hii zikiwemo za uhaini dhidi ya wale waliotaka kumpindua Nyerere..
CV yake,
-alizaliwa
-akahudhuria shuleni
-akaajiriwa
-akajiendeleza kwa mtindo wa tuisheni
-akaitwa mahakamani na kubanwa maswali
-akaomba kwenda kukojoa
Mbowe sio laana za mke tu , mbowe anahushishwa kuuwa familia ya dada yake iliyopata ajari ya ajabuajabu pale wapi familia nzima huku wakiwa na shauri la kugombania mali mahakamaniKuna vitu vinaweza kutokea kwenye maisha kutukumbusha nini tunatakiwa kufanya na vipi tunatakiwa kuvifanya kwa usahihi zaidi. Tukijaidi tunapoteza na tukikumbuka na kukubali tunashinda na kuwa imara zaidi.
Pole sana kwa Lilian na watoto wake
Mbowe sio laana za mke tu , mbowe anahushishwa kuuwa familia ya dada yake iliyopata ajari ya ajabuajabu pale wapi familia nzima huku wakiwa na shauri la kugombania mali mahakamani
Wapo wanachadema wengi kama kina Ben saanane ambao vifo vyao vinatia wasiwasi
Ukimsikiliza vema mwita waitara aliyekuwa rafiki yake wa karibu utajua mbowe ni mtu wa aina gani
USSR
Kumwamini binadamu ni kazi sana tena sana ,moyo wa mtu ni kichakaMbowe sio malaika - igp
Pole kwa Lilian na watoto
Sawa Mrs Ramadhani Kingai. Kilangila.Kwani CV ya Mbowe yenyewe ikoje ?Subirini dawa iwaingie. Mtu anakwenda jela maisha.
Ataitwa Ramadhani Kingai Junior? Kilangila.Mimba ninayo tayari. Mwakani wakili msomi anazaliwa.
Anakuwa kama Ramadhani Kingai. Kilangila.Hebu tuambie na ya mwanaume asiyefikishwa anakuaga kama yule mtu wenu eeeh😂
Uliona kwenye hiyo kesi mkiristo yeyote kachemka kama huyo Ramadan?