Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.

Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.

Yawezekana tatizo ni elimu au tatizo ni aina ya kesi ndiyo sababu ya yeye kubanwa mahakamani hadi wakati mwingine kupata gaidance ya Mahakama.

Ili tumfahamu vizuri kama ambavyo nchi nyingine ufanya, tunaomba tupate CV yake kuona kama kwenye criminal investigation huyu anaelewa au Basi kawekwa tu.

Lakini pia kesi hii ameanza kuichunguza akiwa Arusha wakati mazingira ya kesi yapo Kilimanjaro na Dar es Salaam, je huyu ndiye alionekana nafuu Kati ya ma RCO nchi nzima au kwanini yeye na si RCO Kilimanjaro Wala Dar?
Nahisi ni expert wa torture
Acha kubwabwaja kama kasuku kwa mambo usiyoyajua.
Jina : Ramadhani kingai
Umri: sijui
Kabila : msambaa
Alipozaliwa: bumbuli/ lushoto/ Tanga
Dini: Muislamu
Elimu : BA (PS& PA) UDSM
sec: : Galanos sec school Tanga
Primary: BUMBULI pr school
Miaka ndo sijui.
Loh,tunarudi tena yale ya Kihiyo!!Kwenye kesi ya Mrema kuna msambaa kuna mtu aliyakoroga akiitwa Kihiyo.Sasa tena Msambaa anayeitwa Kingai,Mmh
 
Kwani unahitajika kitu gani ili uajiriwe na kuwa polisi ,je vyeo vya kipolisi vinaendana na elimu aliyosoma mtu ? isije kuwa mnaongelea mambo ambayo hamyafahamu ,mupo mpo tu !
Utii hauhitaji elimu kubwa ujue kusoma na kuandika tu
 
RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.

Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.

Yawezekana tatizo ni elimu au tatizo ni aina ya kesi ndiyo sababu ya yeye kubanwa mahakamani hadi wakati mwingine kupata gaidance ya Mahakama.

Ili tumfahamu vizuri kama ambavyo nchi nyingine ufanya, tunaomba tupate CV yake kuona kama kwenye criminal investigation huyu anaelewa au Basi kawekwa tu.

Lakini pia kesi hii ameanza kuichunguza akiwa Arusha wakati mazingira ya kesi yapo Kilimanjaro na Dar es Salaam, je huyu ndiye alionekana nafuu Kati ya ma RCO nchi nzima au kwanini yeye na si RCO Kilimanjaro Wala Dar?
PhD in Criminology, Honorary.
 
Natamani kumshauri kaka mbowe kitu kimoja tuu sasa.

Haya mambo yanayomkuta atafute chanzo chake atengeneze mapema.... hii ni vita yake mwenyewe, vita ya hatma yake iliyoapata nafasi ya kupitia kwenye kazi zake kumharibu.

Tatizo lipo ila mzizi wa tatizo ni nini? Asipokumbuka alipoangukia akatengeneza ataishia kuumia kwelikweli

Mungu amsaidie kutengeneza kwa kweli
Wewe umeona mbali kama mimi. Kweli Mungu amsaidie.Imagine case ya 2020 inaibuka now,why ?Case yenyewe haina kichwa wala miguu. Hakika Mbowe atengeneze na hii case DPP mwenyewe ataamua kuiwithdraw.
 
Mwinyi alipishika uraisi alitaka alindwe na waislamu akapewa waislamu kilichomkuta diamond Jubilee alipigwa makofi na kiijana mdogo mjahidina. Muislamu sababu alipewa miislamu swala tano iliyopanda vyeo kwa kelele za kidini tu ohh tunabaguliwa kumbe elimu na competence zero akaishia kuwa Raisi wa kwanza kulambwa vibao hadharani tena na kijana mdogo muislamu kwenye hafla ya kiislamu
Mwingi hakupigwa akiwa RAIS
 
Wewe umeona mbali kama mimi. Kweli Mungu amsaidie.Imagine case ya 2020 inaibuka now,why ?Case yenyewe haina kichwa wala miguu. Hakika Mbowe atengeneze na hii case DPP mwenyewe ataamua kuiwithdraw.

Kuna vitu vinaweza kutokea kwenye maisha kutukumbusha nini tunatakiwa kufanya na vipi tunatakiwa kuvifanya kwa usahihi zaidi. Tukijaidi tunapoteza na tukikumbuka na kukubali tunashinda na kuwa imara zaidi.

Pole sana kwa Lilian na watoto wake
 
Hiyo akili !Ni dalili ya mwanamke asifikishwa kileleni huwa ana stress.Wewe ni mgonjwa tafuta ti

Magonjwa Mtambuka Iboya2021 mama D magu2016 Ritz Wakudadavuwa Simiyu Yetu
Na hii ni dalili ya ugonjwa unaokusumbua Kwa muda mrefu ndio maana umefunguka humu jf kusaka msaada! Nikusaidieje Sasa Kama Basha wako hakufikishi? Hapo lumumba mmejazana Michele mitupu na mnalogana kupigania mabasha! Sogea Kwa waarabu hapo kariakoo wakusaidie kufikia kileleni! Kijana mwiba Kama wewe ni hasara Kwa wazazi wako Bora babako angepiga puchu!
 
Mama akiona mavyeo ya watu wakiongea kwenye vikao vyao anajua wapo sahihi hiyo Ijumaa Kamanda Sirro ataomba udhuru maana nae ana maswali yake ya kitata akitoka hapo havui viatu mpaka jumamosi...
Kama ambavyo walimuingiza chaka mwendazake ndio style hiyohiyo wanamuingiza chaka mama ili wamuaminishe maadui wa taifa ni wapinzani na ilhali maadui halisi wa kwake na taifa yuko nao chamani mwake.
 
Kutanguliza ushabiki mbele kwa masuala ya msingi ni kujidanganya kabisa....kesi IPO ...Jamhuri sio wajinga kihivyo Kama mnavyojidanganya...kwenye kesi za namna hii evidence moja tu...inaweza ikaamua hatima ya kesi ...sisi wengine ni wafuatiliaji wazuri wa kesi za Aina Hii zikiwemo za uhaini dhidi ya wale waliotaka kumpindua Nyerere..
Toa ushaidi wa kesi ya ugaidi sio uhaini, USA mpaka Leo wanaangaika na magaidi huko Guantanamo bay kwakuwa hawana ushaidi dhidi yao sembuse huu ugaidi wa laki sita, pistol moja yenye risasi tatu, madawa ya kulevya, na kuangusha miti barabarani
 
Kuna vitu vinaweza kutokea kwenye maisha kutukumbusha nini tunatakiwa kufanya na vipi tunatakiwa kuvifanya kwa usahihi zaidi. Tukijaidi tunapoteza na tukikumbuka na kukubali tunashinda na kuwa imara zaidi.

Pole sana kwa Lilian na watoto wake
Mbowe sio laana za mke tu , mbowe anahushishwa kuuwa familia ya dada yake iliyopata ajari ya ajabuajabu pale wapi familia nzima huku wakiwa na shauri la kugombania mali mahakamani

Wapo wanachadema wengi kama kina Ben saanane ambao vifo vyao vinatia wasiwasi
Ukimsikiliza vema mwita waitara aliyekuwa rafiki yake wa karibu utajua mbowe ni mtu wa aina gani

USSR
 
Mbowe sio malaika - igp

Pole kwa Lilian na watoto
 
Back
Top Bottom