Anayejua MATEMA BEACH Naomba Informations

Anayejua MATEMA BEACH Naomba Informations

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
4,058
Reaction score
2,637
Habari wakuu.
Nina rafiki zangu wanataka kwenda Matema Beach wakati wa Easter. wanahitaji kujua mengi kuhusu Matema beach, lakini pia wana option mbili, kuchukua usafiri binafsi kutoka Arusha au kwenda Mbeya na Basi halafu wakodi gari kuanzia pale.

Msaada wazee.
 
Hebu google matema beach.
Kuna info za msaada kwako utazipata huko.
 
Matema beach iko kyela kwenye ziwa nyasa. Ukitaka kufika ni lazima uwe na usafiri wako (binafsi au kukodi) either kutokea mbeya town au kyela mjini.

Nawashauri kama mna mafuta ya kutosha (pesa) mnaweza kukodi kuanzia mbeya au mkatoka na gari toka arusha moja kwa moja kwani kyela kupata gari nzuri itakayowafikisha bila utata ni vigumu.

Pamoko...
 
Ahsante Mponjoli.
Maelezo yako yatanisaidia sana. Vipi kuhusu beach yenyewe, je kunakuwa na watu wengi siku za sikukuu? I mean kunachangamka kiasi ukiwa na wageni wana enjoy safari yao?
 
Mponjoli upo? Juzi ulikuwa kinara wa documentary BBC1. Wanakuita "Tanzanian gangster"

Halafu uliza jina lako linavyotamkwa sasa.
 
Back
Top Bottom