hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Wadau, kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu matokeo ya usahili wa kuandika tuliofanya Julai mwanzoni pale DUCE Chang'ombe tupeane habari isije ikawa ni subiri hewa kumbe watu wapo kazini. Ilikuwa ni nafasi za Contribution Trainee PPF.